Sumaye akutana na waandishi wa habari; afafanua msimamo wake | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sumaye akutana na waandishi wa habari; afafanua msimamo wake

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Invisible, Mar 25, 2011.

 1. Invisible

  Invisible Admin Staff Member

  #1
  Mar 25, 2011
  Joined: Feb 11, 2006
  Messages: 9,090
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  Nimejiunga na TANU Youth League mwaka 1969, na baadae TANU mwaka 1972, mimi ni mwana CCM tangu kuanzishwa kwake 1977 na ni mjumbe wa NEC

  Zaidi: Fuatilia posts chini (in summary)

   

  Attached Files:

 2. Invisible

  Invisible Admin Staff Member

  #2
  Mar 25, 2011
  Joined: Feb 11, 2006
  Messages: 9,090
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  Sina uhusiano mbaya na UVCCM, sina uhusiano mbaya na yeyote ambaye ni mwana CCM.

  Napenda kuongelea kuhusu 2015, sijaamua kama nitagombea au sitagombea
   
 3. Invisible

  Invisible Admin Staff Member

  #3
  Mar 25, 2011
  Joined: Feb 11, 2006
  Messages: 9,090
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  Wananchi ndio wenye uwezo wa kila jambo katika nchi, wananchi ndio wanaopiga kura na ndio wanaoamua nani awe kiongozi na nani asiwe.
   
 4. Invisible

  Invisible Admin Staff Member

  #4
  Mar 25, 2011
  Joined: Feb 11, 2006
  Messages: 9,090
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  Makundi matatu yanayoamua nani awe kiongozi ni WANANCHI, CHAMA anachotoka mwanasiasa na DOLA
   
 5. Invisible

  Invisible Admin Staff Member

  #5
  Mar 25, 2011
  Joined: Feb 11, 2006
  Messages: 9,090
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  Kwanini nimewaita?

  Kumeibuka malumbano ndani ya CCM na UVCCM kutokana na matamshi ambayo yanakanganya na mimi ni mmojawapo ambaye nimeshambuliwa sana.
   
 6. Invisible

  Invisible Admin Staff Member

  #6
  Mar 25, 2011
  Joined: Feb 11, 2006
  Messages: 9,090
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  Nipo hapa kwa niaba yangu mwenyewe, sijatumwa na yeyote na SIMSEMEI YEYOTE. Nipo hapa kama Frederick Sumaye.

  Ningeyapeleka kwenye chama hasa NEC lakini kwakuwa na wenzangu wameanza kwa mtindo wa kuitisha vyombo vya habari nami nafuata utaratibu huo
   
 7. Invisible

  Invisible Admin Staff Member

  #7
  Mar 25, 2011
  Joined: Feb 11, 2006
  Messages: 9,090
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  Lengo si kushindana wala kupimana nguvu, lengo ni kuweka uwazi kwa wananchi watambue uhalisia
   
 8. Invisible

  Invisible Admin Staff Member

  #8
  Mar 25, 2011
  Joined: Feb 11, 2006
  Messages: 9,090
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  Baada ya kuona wananchi wanavyoyapokea maandamano ya CHADEMA na kwa hamasa kubwa nilishauri CCM itoe ushirikiano kwa serikali kwa kuyajibu wanayotoa CHADEMA ili kuweza kuweka hali halisi. Mimi kusema CCM ifanye sikumaanisha MIMI SIMO.
   
 9. Ntemi Kazwile

  Ntemi Kazwile JF-Expert Member

  #9
  Mar 25, 2011
  Joined: May 14, 2010
  Messages: 2,145
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Ahsante endelea kutujuza
   
 10. Invisible

  Invisible Admin Staff Member

  #10
  Mar 25, 2011
  Joined: Feb 11, 2006
  Messages: 9,090
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  Aidha, sijasema serikali isifanye kazi yake. Waziri Wassira amefanya kazi ya serikali vema tu
   
 11. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #11
  Mar 25, 2011
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  kiongozi nakupata ..endelea kutuhabarisha
   
 12. Invisible

  Invisible Admin Staff Member

  #12
  Mar 25, 2011
  Joined: Feb 11, 2006
  Messages: 9,090
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  Katika utaratibu wa kawaida, chama kinafanya kazi yake baadae serikali inakuja kumalizia yanayobakia. Kama kazi ya siasa haijafanyika vema na chama basi serikali hubeba lawama zisizostahili.

  Malumbano ya kisiasa hujibiwa kisiasa, CCM walitakiwa kuwajibu CHADEMA na si kazi ya serikali kufanya kazi ya kisiasa
   
 13. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #13
  Mar 25, 2011
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  ngoja nisogeze popcorn zangu maana inaelekea ana mabomu anataka kuyamimina hapa
   
 14. W

  WildCard JF-Expert Member

  #14
  Mar 25, 2011
  Joined: Apr 22, 2008
  Messages: 7,477
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 145
  Ni DOLA na CHAMA. Wananchi wanaburuzwa tu kwa chaguzi za Tanzania.
   
 15. Invisible

  Invisible Admin Staff Member

  #15
  Mar 25, 2011
  Joined: Feb 11, 2006
  Messages: 9,090
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  CCM inafahamu kazi ya kisiasa na kimekuwa kikifanya hivyo tangu zamani. Viongozi wetu wamekuwa wakifanya hivyo kwenye kila ngazi. Ni shughuli ya chama na haihitaji maamuzi ya vikao.
   
 16. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #16
  Mar 25, 2011
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  leta nyeti mkuu...hii kitu hairushwi live kwani
   
 17. Invisible

  Invisible Admin Staff Member

  #17
  Mar 25, 2011
  Joined: Feb 11, 2006
  Messages: 9,090
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  Akiongea Sumaye linaonekana tatizo kubwa na tena ni utovu wa nidhamu. Nimeshutumiwa na hata kutukanwa na wengine ndani ya chama
   
 18. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #18
  Mar 25, 2011
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 11,578
  Likes Received: 3,877
  Trophy Points: 280
  Asante mkuu!

  I feel sorry for Sumaye! walimrushia makombora na mpaka leo inajulikana ni fisadi! leo hii UVCCM wanacheza michezo ile ile ya akina JK!

  I believe huyu jamaa let say anakuwa rais kundi la JK litapata shida sana, wanampinga kwa nguvu zote wala asiwaze kuwa rais

  Any one help: je kwa sasa sumaye na Lowasa uhusiano wao ukoje?
   
 19. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #19
  Mar 25, 2011
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  sumaye bana ananifurahisha sana na kauli zake
   
 20. Watu

  Watu JF-Expert Member

  #20
  Mar 25, 2011
  Joined: May 12, 2008
  Messages: 3,054
  Likes Received: 427
  Trophy Points: 180
  Na bado mnamsikiliza? kweli tz waandishi wa habari hakuna ni majungu tu y don't you walk out?
   
Loading...