Sumaye akiwa Ameongozana na Naibu Meya Mhe.Viola Lazaro wamemtembelea Mbunge Godbless Lema

PRODA LTD

JF-Expert Member
Oct 20, 2016
1,005
2,000
IMG-20161231-WA0045.jpg Waziri Mkuu Mstaafu na Mjumbe wa Kamati Kuu Chadema Taifa Mhe.Fredrick Sumaye akiwa Ameongozana na Naibu Meya Mhe.Viola Lazaro wamemtembelea Mbunge wa Jimbo la Arusha Mhe.Godbless Lema ambaye yupo Gereza kuu Arusha (kisongo),Ikiwa ni awamu ya pili baada ya Mhe.Edward Lowassa kutangulia.

NENO la faraja alilomuachia Mhe.Lema amemwambia "JUST BE STRONG"
 

Kipigi

JF-Expert Member
Aug 20, 2012
787
500
Waziri Mkuu Mstaafu na Mjumbe wa Kamati Kuu Chadema Taifa Mhe.Fredrick Sumaye akiwa Ameongozana na Naibu Meya Mhe.Viola Lazaro wamemtembelea Mbunge wa Jimbo la Arusha Mhe.Godbless Lema ambaye yupo Gereza kuu Arusha (kisongo),Ikiwa ni awamu ya pili baada ya Mhe.Edward Lowassa kutangulia.

NENO la faraja alilomuachia Mhe.Lema amemwambia "JUST BE STRONG"
Huku akikumbuka alivyokuwa akiwaadhibu enzi hizo
 

F9T

JF-Expert Member
Dec 26, 2015
1,548
2,000
karist lazaro meya, viola lazaro naibu meya. kweli kizuri kula na nduguyo hahaha CHADEMA THE GREAT
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom