Sumaye aichambua ziara ya Lowassa Ikulu

Nimecheka sana michango ya wachangiaji.
 
Ujinga bado ni janga kubwa nchini!hujui huyo kamanda wa kanda ya mashariki alikuwa PM kwa miaka 10?alifanya nini?
Mzee kwan nchi ilishikwa na ye tu mbona pinda nae alikuwepo na wngine wengi je hao wamepatia nn nchi tatizo ni watz waliokua madarakan atuna shaka nao shaka ni pale wanapotaka kuingia na wakiondoka nasikia hata nnzi akiacha ujinga atatengeneza asali naanza kuamini ni kwel
 

Similar Discussions

3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom