Sumaye aichambua ziara ya Lowassa Ikulu

Sumaye kachambua vizuri sana. Huyo mchambuzi wa siasa naona anaongea kama kada na siyo mchambuzi
 
Tungekua na viongozi kama sumaye tanzania nadhani tungefika mbali sana anabusala nadhani mno pasipo kua na umri mkubw sana wa uzee anasifa ya kua kiongozi bongo ya kiwango cha juu mno
 
Sumaye inawezekana hayo yote kayafanya ila watu wakafanya editing kwa faida yao
 
Tungekua na viongozi kama sumaye tanzania nadhani tungefika mbali sana anabusala nadhani mno pasipo kua na umri mkubw sana wa uzee anasifa ya kua kiongozi bongo ya kiwango cha juu mno
kamanda una umri gani? Naona uko upande wa kusifia tu chochote akachofanya Sumaye bila kujua/kukumbuka kuwa Sumaye alipata kuwa waziri mkuu wa serikali awamu wa tatu na hakuna chochote cha maana alichofanya kama kiongozi......sanasana alikuja kuitwa mr zero!!
 
Nimegundua SUMAYE sasa anawania kuwa 2020 CHADEMA FLAG BEARER baada ya EL kulikoroga.

Kila mmoja wetu anajua wawili hawa hawajawahi kuwa mahusiano mazuri toka wakiwa CCM kukatwa ndio kuliwakutanisha CHADEMA.

Hapa naona SUMAYE bado anamawazo ya kutimiza ndoto yake ya kuishi MAGOGONI.

Mtifuano CHADEMA.

Time will tell!!
 
Asikwambie mtu siasa ya tz ni tamu ukiwa juu. Yani unaona mtu leo anasema kinyesi kesho anasema keki na kuila.
 
kamanda una umri gani? Naona uko upande wa kusifia tu chochote akachofanya Sumaye bila kujua/kukumbuka kuwa Sumaye alipata kuwa waziri mkuu wa serikali awamu wa tatu na hakuna chochote cha maana alichofanya kama kiongozi......sanasana alikuja kuitwa mr zero!!
 
Azam nao bana...yani unaleta wachangia mada wenye mirengo inayofanana kisiasa si ukanjanja uo...nimepoteza tu mb zang
 
Tungekua na viongozi kama sumaye tanzania nadhani tungefika mbali sana anabusala nadhani mno pasipo kua na umri mkubw sana wa uzee anasifa ya kua kiongozi bongo ya kiwango cha juu mno
Umesahau kuwa huyu jamaa alikuwa waziri mkuu miaka 10?? Na amekuwa waziri miaka mingi tu.
 
Huyu mamvi amekubali kuuza heshima yake yote aliyoijenga kwa miaka mingi dakika chache tu!!! Maharage ya bongo ni mabaya!!!
 
kamanda una umri gani? Naona uko upande wa kusifia tu chochote akachofanya Sumaye bila kujua/kukumbuka kuwa Sumaye alipata kuwa waziri mkuu wa serikali awamu wa tatu na hakuna chochote cha maana alichofanya kama kiongozi......sanasana alikuja kuitwa mr zero!!
Hahaha kwani waziri mkuu alipaswa/anapaswa kufanya nini?! Yule ni kiranja mkuu wa wabunge na mawaziri hana specified job au job description ya cheo cha waziri mkuu ndio maana hata aliyepo yuko allover hakuna kazi ni kama monitor darasani wanafunzi wasipopiga kelele hata hujui kazi yake.,
Wanazindua tu kilasiku.
 
Nimekuelewa sana sumaye
Sumaye kamponda Lowasa anavizia ugombea uraisi 2020 kupitia Chadema. Yeye alivyokuwa waziri mkuu akisifiwa mbona alikuwa hasemi msinisifie ni wajibu wangu? Ukimsikiliza anamponda Lowasa.Ushauri wa bure ni kuwa MTU mzima ukitukana mke wa MTU kuwa ni Malaya hakumfanyi mkeo malaya kuwa sio Malaya.
 
Similar Discussions

3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom