SUMATRA vs nauli za jijini

Edmund

Senior Member
Jul 17, 2009
123
62
Napenda kujua wadau hivi hizi nauli za hapa jijini ni nani hasa msimamizi,
Labda ndio wanasimamia barabara kuu tu siye wa pembezoni mmmhhh.

MFANO

Nauli za Banana kuelekea Mwanagati, Kibeberu, Kinyantira, Kivule nauli ni 400/= badala ya nauli halali ya SUMATRA ambayo ni 300, ukiwapigia simu wanadai wakaguzi wapo Chanika watapitia lakini wapi, kwa ujumla siwaelewi elewi n

NISAIDIENI, TUNAUMIA JAMII,​
 
Watanzania ni wajinga. Mmeshatangaziwa naul sumatra ifanye nini tena?. Hawa nawafananisha na hawa wa huku kwetu, soda inauzwa 500/= kuna matangazo kibao ila bado tunatoa 600 na baadh ya maeneo 1000, huu ni upunguani. Subirieni SUMATRA.
 
nakuomba rudi tena na soma majukumu yao, ni pamoja na "enforcement of the law"
 
nakuomba rudi tena na soma majukumu yao, ni pamoja na "enforcement of the law"
<br />
<br />
Watanzania hatuwezi kujiongoza hata kidogo. Kwanini msigome kutoa 400/=?
 
Maeneo ambayo ccm ilipata kura nyingi nauli za mabasi ziko juu kuliko maelezo mfano nauli ya basi kutoka Gongo la mboto kwenda Kisarawe ni shilingi 500/= umbali wa kilomita 6 tu
 
Back
Top Bottom