Sumatra- nisaidieni ufafanuzi

Ushimen

JF-Expert Member
Oct 24, 2012
37,160
85,151
Mimi nipo kigoma, natarajia kusafi kwenda Dar. Nimeuliza nauli kwa agent wa Adventure bus akanieleza ni Tsh 60,000. Je! Hiibei nilioambiwa ni halali?
Kwa yeyote mwenye ufahamu wa hili.



Nawakilisha
 
mimi nipo kigoma, natarajia kusafi kwenda dar. Nimeuliza nauli kwa agent wa adventure bus akanieleza ni tsh 60,000. Je! Hiibei nilioambiwa ni halali?
Kwa yeyote mwenye ufahamu wa hili.nawakilisha


kigoma to dar es salaam kupitia nzega
ordinary bus 58,800
semi luxury bus 80,900
luxury bus 88,900
A45lahrjauZqAAAAAElFTkSuQmCC
 
Back
Top Bottom