sumatra-Madereva wa usafiri wa umma kikomo miaka 30-60 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

sumatra-Madereva wa usafiri wa umma kikomo miaka 30-60

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by MGOGOHALISI, Aug 29, 2012.

 1. MGOGOHALISI

  MGOGOHALISI JF-Expert Member

  #1
  Aug 29, 2012
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 353
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Mamlaka ya usafiri wa majini na nchi kavu inajiandaa kuleta hoja kwa wadau kuwa umri wa wanaoongoza vyombo vya usafiri wa umma kwa nchi kavu(magari ya abiria) na majini(meli/boti za abiria) uwe kati ya miaka 30 hadi 60 (inclusive)

  =======
  hoja kama hizi kwa upande wangu ni zile za watu wanaoshauriwa na wake zao kisha asubuhi wanaibuka nazo ofisini. Hivi vichwa vyote pale Sumatra vinakaa na kujadili utumbo kama huu na kuufanya ajenda ya kulipana posho!!!!!

  mawazo yenu hapa tafadhali
   
 2. MGOGOHALISI

  MGOGOHALISI JF-Expert Member

  #2
  Aug 29, 2012
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 353
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  .... source gazeti la mwananchi la leo
   
 3. Zamaulid

  Zamaulid JF-Expert Member

  #3
  Dec 28, 2016
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 16,357
  Likes Received: 6,699
  Trophy Points: 280
  Hii iliishiaga wapi
   
 4. b

  blessings JF-Expert Member

  #4
  Dec 28, 2016
  Joined: Jul 9, 2012
  Messages: 5,066
  Likes Received: 2,855
  Trophy Points: 280
  Giving SUMATRA kwa nn wasiongezewe na jukumu la usafiri wa anga?
   
 5. Smart Technician

  Smart Technician JF-Expert Member

  #5
  Dec 28, 2016
  Joined: Mar 15, 2015
  Messages: 339
  Likes Received: 198
  Trophy Points: 60
  Sawa na kondakta umli gani?
   
Loading...