Sumatra kunani? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sumatra kunani?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mbonafingi, Mar 18, 2011.

 1. M

  Mbonafingi Senior Member

  #1
  Mar 18, 2011
  Joined: Apr 24, 2009
  Messages: 126
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  :A S clock: MAAMUZI YA SUMATRA YANASHANGAZA. LEO TUNAAMBIWA WANAOPINGA NAULI WAENDE MAHAKAMANI WAPO KWA FAIDA YA NANI? NA HIYO KESI ITACHUKUA MIAKA MINGAPI HUKU WALALAHOI WAKISUBIRI KUPATA NAFUU.
  LAKINI UKIANGALIA KWA UNDANI WANA HAKI YA KUSEMA HIVYO KWA KUWA HAINA MTENDAJI HUYO MKURUGENZI WAO ALISHAMALIZA MUDA WAKE WA KAMA MIAKA MIWILI HIVI NA HATA BARUA YA KUKAIMU HANA TUNATEGEMEA NINI? KUNA NAFASI ZA WAKUBWA TU HAPO WANAMALIZA MUDA WAO MWEZI HUU WA TATU HAO NDIO WATENDAJI LAKINI AMINI USIAMINI MPAKA LEO NAFASI ZAO HAZIJATANGAZWA MPAKA LEO NANI ATAFANYA KAZI ZA KUHUDUMIA JAMII KATIKA MAZINGIRA HAYO ITAKUWA BORA LIENDE. NAHANI KAMA KAWAIDA WAKO PALE KWA MANUFAA YA WATU FULANI NA WOA BINAFSI.
  SUMATRA TUAMBIENI KUNA NINI MPAKA HAKUNA UONGOZI UNAOELEWEKA?
   
 2. K

  Kyachakiche JF-Expert Member

  #2
  Mar 18, 2011
  Joined: Feb 16, 2009
  Messages: 910
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 45
  Hata Bongo haina Mkuu wa Mkoa, sembuse SUMATRA!!
   
Loading...