SUMATRA Kumfikisha Mhakamani mtoa huduma mradi wa mabasi ya mwendokasi

Ndugu mtoa mada kwnza natanguliza shukran za dhati kwa kutupa taarifa.
Ila tatizo la hii habar yako haina maelezo ya kueleweka yaan haina nyama, ipo ipo tu , nategemea uta-update taarifa yako
Wako mtiifu
multiphill90
 
Hawa watu eti kadi yangu ilikuwa na 5000 trip tatu leo naambiwa salio limeisha
Yaani trip tatu 5000
 
Siwalaumu ni kwa kuwa waTz tumeridhika na kudhulumiwa. Rafiki yangu kila siku analalamika kutoka tiptop mpaka posts 650. Wangekuwa wamepinga Hii dhuluma wangeshasikilizwa kitambo.
 
Mradi umekaa kitapeli tapeli tu,kwenye kadi hakuna kituo ambacho unaweza kuona salio lako,bora hata wange connect na namba zetu za simu ikikata unajua imekata kiasi gani,chenji za 50 hawana kila siku yaani hapa ni mradi wa watu tu hakuna kingine,shirika kubwa kama hilo linaweza kuwa natatizo la chenji kwa siku zote? bank hawapajui? au ina maana 50 hazitolewi tena na bank?
 
Je foleni imekwisha ? Hilo ndo wazo kuu then hayo mengine yanarekebika kwa kupiga kelele na sio kulalamika.
 
Japo mletA taarifa hajasema kwa nini ila tatzo kubwa ni hizi kadi aseee ni wizi, unaweka 5000 trip 3 hakina pesa,

Halafu kwann hawazingatii root fup? Mfano mtu anatoka kimara anaishia ubungo au moroco anaishia magimeni alipe 650,au kko..

Kunahaja ya hao jamaa kushitakiwa ama wasimamishe mradi watengeneze miundombinu
 
Back
Top Bottom