SUMATRA idhibiti nauli ya usafiri barabara ya Makete, Wananchi tunaumizwa

Tutuba

Member
May 4, 2020
8
45
Barabara ya Makete nauli ipo juu sana SUMATRA mliangalie hili eneo la km 130 nauli 10000 siyo sawa. Kumbukeni hii barabara na ipo katika kiwango cha lami.

Bado vituo vya mkoani ukipanda eneo la km 20 tu nauli ni 3000 sio haki kabisa wananchi wanaumia.
 
Faana

JF-Expert Member
Dec 12, 2011
17,729
2,000
Barabara ya Makete nauli ipo juu sana Sumatra mliangalie hili eneo la km 130 nauli 10000 siyo sawa. Kumbukeni hii barabara na ipo katika kiwango cha lami

Bado vituo vya mkoani ukipanda eneo la km 20 tu nauli ni 3000 sio haki kabisa wananchi wanaumia.
Wanalijua sana tu, ila mengi ya magari ni yao, hawawezi kulifanyia kazi,
 
Mad Max

JF-Expert Member
Oct 21, 2010
7,767
2,000
Kilometa 130 kwa Elfu 10 kama barabara ya vumbi ni halali kama rami atleast Elfu 5-7.

Tatizo watu wa huko mkipanda stendi hadi stendi.

Moro to Dar 180km elfu 8 rami mwanzo mwisho na wateja kibao.
 
dong yi

JF-Expert Member
Jan 31, 2016
3,700
2,000
Kutoka njombe kwenda makete
hili kweli kuna mtu pia aliwahi kusema! nadhani shida pia ni magari hayajaingia mengi hiyo route kwa sasa!

japanese katawala sana hiyo route, kina sikinde na yule mwenzake hawana magari.....ila zikianza coaster mzee bei itakua less than 5k! (japo hilo pia linategemea na wingi wa abiria)!

zaman mbeya chunya ilikua bila 7k huendi, siku hizi baada ya lami ni 3k (mpk 2500 ukiomba)! , mbeya kyela kwa sasa ni 5k (parefu kuliko makete-njombe! ila route ina abiria wengi na magari mengi)
 
Good Father

JF-Expert Member
Feb 28, 2014
9,178
2,000
Barabara ya Makete nauli ipo juu sana SUMATRA mliangalie hili eneo la km 130 nauli 10000 siyo sawa. Kumbukeni hii barabara na ipo katika kiwango cha lami.

Bado vituo vya mkoani ukipanda eneo la km 20 tu nauli ni 3000 sio haki kabisa wananchi wanaumia.
Wenye magari pangeni bei mnazotaka kama ambavyo wakulima waliambiwa wapange bei za mazao yao.

Ukikasirika nipige tu
 
Faana

JF-Expert Member
Dec 12, 2011
17,729
2,000
Kilometa 130 kwa Elfu 10 kama barabara ya vumbi ni halali kama rami atleast Elfu 5-7.

Tatizo watu wa huko mkipanda stendi hadi stendi.

Moro to Dar 180km elfu 8 rami mwanzo mwisho na wateja kibao.
1615994556456.png
 
displayname

JF-Expert Member
Feb 15, 2013
1,830
2,000
Barabara ya Makete nauli ipo juu sana SUMATRA mliangalie hili eneo la km 130 nauli 10000 siyo sawa. Kumbukeni hii barabara na ipo katika kiwango cha lami.

Bado vituo vya mkoani ukipanda eneo la km 20 tu nauli ni 3000 sio haki kabisa wananchi wanaumia.
Kwani SUMATRA ipo tena au umekariri?!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom