SUMA JKT wamefanya kazi iliyotukuka ya kulisafisha Jiji, napendekeza kandarasi za Usafi nchi nzima wapewe wao!

Mwanzo nilidhani mtu akizeeka anakuwa na akili kumbe zinaisha, hivi hao SUMA wapo wangapi wa kutosha miji yote Tanzania? pia private sector ifanye kazi gani?
 
Enzi za mwendazake ulimuunga mkono aliposema machinga waachwe wasibuguziwe.

Sasa hivi umepiga U turn unaunga mkono machinga waondoshwe miji iwe misafi.

CCM akili zenu mnazijua wenyewe.
 
Wapi nimewazungumzia Machinga bwashee?!

Suma na machinga wapi na wapi meku!!!
 
Huo ni uonevu hadi huko nje ya mji,wangewaondoa mjini pekee maeneo ya city center pembezeni mwa miji wangewaacha
 
Mwendazake alituharibia sana nchi yeye ndiye alikuwa anawapa jeuri hawa wamachinga.
Aliwatengeza machinga baada ya kupambana na matajiri wakakimbia nchi na kufunga biashara zao na kuuwa kilimo hivyo watu wakakosa ajira wakageukia umachinga Ili waishi.
Mfano Manji pekee aliajiri zaidi ya watz 2000,malori zaidi ya 3000 yalihamishiwa nchi jirani Ili wasifiriwe madereva wakakosa kazi.
Baada ya kuwatengeza machinga akajifanya mtetezi wao kwa kujifanya anawasaidia kumbe lengo ni kutaka kula zao.
 
Unaelewa maana ya rasilimari watu?
 
Back
Top Bottom