Suluhu Zanzibar hii hapa

assengagt

JF-Expert Member
Aug 3, 2011
289
134
Wakati umefika sasa kwa Zanzibar kutawaliwa na marais wawili. Dr Shein Unguja na Maalim Seif Pemba alafu rais wa Muungano Magufuli kama kawaida! Tukifanya ivyo muungano wetu utakuwa imara!
 
Back
Top Bottom