Aristides Pastory
JF-Expert Member
- Feb 7, 2012
- 348
- 60
Habari njema niliyopewa na ndugu wananchi wa jimbo la KIGAMBONI katika kukusanya maoni yao juu ya Vuguvugu la Mabadiliko (M4C) nimepokea maoni mazuri baadhi ya maoni hayo ni hili la KADI .
Ambayo wengi wamesema Ili kudhihirisha CCM hatuipendi ni lazima kadi zote zilizokusanywa na Wanamapambano zitafutiwe SIKU maalumu ya kitaifa ya KUZICHOMA moto kadi zote za CCM na Vyama Vingine na harakati hiyo iongozwe na DR.SLAA pamoja na KADI yake mbele ya UMMA wa Watanzania wote ili iwe Historia ya leo na Kizazi kijacho.