Suluhisho rahisi kwa wanaodhani wamepungukiwa nguvu, wanaosumbuka kurudia tendo au kuwahi kufika

Ndg zangu naombeni mnisaidie kwa hili jambo ambalo huwa linanitokeaga katika 6×6 pale mjengoni huwa nikipiga shuti langu moja tu jamaa anasizi as a amekula Ngada(Unga) sasa huwa nashindwa wapi kufikia hat triki?

My take: lakini kavu lazima mtoto atengenezwe but huwa siriziki.....
chepuka siku moja uone kama hali itakua ni hiohio
 
chepuka siku moja uone kama hali itakua ni hiohio
Hahaha...!usidanganyike ndugu ujue uyo demu ulonae ni perfect kabisa kama wewe ni beberu unapiga kimoja na kesho bado anakupa na anaifanya siri,ujue siku ukichepuka utakua umefanya mademu wawili wajue you are weak.The more unachepuka the more people are being aware kwamba wee ni beberu la kunywa supu hahaha "panadol" buana.Ushauri wangu,Tulia na mmoja mtafute suluhu hata kwa sigwa au kwa dr.mwaka ukajaribu.
 
Ndg zangu naombeni mnisaidie kwa hili jambo ambalo huwa linanitokeaga katika 6×6 pale mjengoni huwa nikipiga shuti langu moja tu jamaa anasizi as a amekula Ngada(Unga) sasa huwa nashindwa wapi kufikia hat triki?

My take: lakini kavu lazima mtoto atengenezwe but huwa siriziki.....
We ni beberu? :oops: :oops: :oops:badili jina
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom