Suluhisho la Waagizaji wa Vitu Mbali mbali Kutokea Nje ya Nchi Kuleta Tanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Suluhisho la Waagizaji wa Vitu Mbali mbali Kutokea Nje ya Nchi Kuleta Tanzania

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Nkandi, Oct 18, 2012.

 1. Nkandi

  Nkandi Member

  #1
  Oct 18, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 83
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  Wanajamii,

  Baada ya kuona wajasilamali wanaongezeka,tuliona ni vyema kutafuata namna ya kuwasaidia wajasiliamali wadogo wapate namna ya kusafirisha bidhaa zao kutokea huku wanapoziagiza mpaka hapa nchi kwetu (Tanzania)

  Hivyo tumeweza kushirikiana na kampuni za kimataifa za usafirishaji zenye kujali wajasiliamali wenye kipato cha chini kwakuwa mizigo yote usafirshwa na malipo ufanyiwa hapa hapa Tanzania baada ya mkataba maalumu, na kwa wale wenye biashara zilizorasimishwa upewa mkopo hadi wa siku 30 (30 days credit facility)

  Kwa wale wanaopenda kuagiza moja kwa moja kwa watengenezaji,kutumia mitandao kama amazon.com au mizigo kutoka sehemu mbalimbali waweza kuwasiliana nasi kwa email: kkmarketing61@yahoo.com, tutazungumza mengi,tutakujuza pamoja na kukutembelea ofisini kwako.

  NB: Huduma hii inahusisha kufikisha mzigo mikoa yote na kwa teknolojia ya kisasa kwa kuwa utaweza kuangalia upitia mtandao kuwa mzigo wako upo wapi (advanced tracking system)

  Naomba kuwasilisha.
   
 2. MIUNDOMBINU

  MIUNDOMBINU JF-Expert Member

  #2
  Oct 19, 2012
  Joined: Apr 14, 2010
  Messages: 452
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 35
  Mkuu ofisi zenu ziko wapi?.
   
 3. Kitoabu

  Kitoabu JF-Expert Member

  #3
  Oct 20, 2012
  Joined: Jul 7, 2011
  Messages: 5,765
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 160
  Huyu ninja kakimbia
   
 4. Nkandi

  Nkandi Member

  #4
  Oct 20, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 83
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  Ofisi zetu zinazohusika na huduma hii ni opposite shoprite ya Kamata...jirani na Monalisa furniture
   
 5. Nkandi

  Nkandi Member

  #5
  Oct 20, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 83
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  Kukimbia Haiwezekani,sikuona feedback mkuu....
   
 6. Nkandi

  Nkandi Member

  #6
  Oct 20, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 83
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  Muwe huru kuwasiliana nasi muda wowote.....kama unahitaji quotation tutumie email;tuambie mzigo upo sehemu gani na nchi gani,kilo ngapi,ni vitu gani.....then tutakutumia quotation immeadiately,pia inachukua siku 4 za kazi mzigo unaupata....itategemeana na umechagua njia gani ya kuusafirisha..Courier way au Cargo(air/sea)..na mingine kutmia barabara....tupo kusaidia wajasiliamali
   
 7. chokambayaa

  chokambayaa JF-Expert Member

  #7
  Oct 20, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 528
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Mkuu je kwa cc ambao tunataka vya kutumia tuu, yaani hatuagizi in bulk
  mnatuacomodate?
   
 8. Nkandi

  Nkandi Member

  #8
  Oct 20, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 83
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  We assist all hata kama unaagiza shati moja...tunahakikisha umefanikiwa...kuwa huru kuwasiliana nasi muda wowote,tunafahamu utofauti wa mahitaji ya watu....
   
 9. chokambayaa

  chokambayaa JF-Expert Member

  #9
  Oct 20, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 528
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Poa mkuu nimekupata ngoja njipange
   
 10. Nkandi

  Nkandi Member

  #10
  Oct 21, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 83
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  Haina shida feel free wakati wowote chief
   
Loading...