Suluhisho la mgogoro wa mkopo heslb

stan b

Member
Sep 8, 2011
85
10
mi naona kama bajet kweli haitosh, Serikal izame kitengo cha maafa wacsubir mpaka mel izame au mabom yalipuke, hata watu elfu 14 kukosa mikopo mi naona ni maafa pia kwan haijawah kutokea.
 
serikali ye2 imesha adhirika na siasa ndo maana wakapata fedha za uchaguz mdogo wa gafra bila kutegemea huyo jamaa(rostam)kama atajiudhuri lakn wakakosa fedha za kuwapa mikopo wasomi waliokuwa wanajulikana toka mda mrefu kuwa watakuja kuomba mkopo.HII NDO TANZANIA
 
Serikali tumeishauri sana kuhusu suala la mikopo mwaka huu yenyewe imetia pamba maskioni!
 
tuacheni nidhamu ya woga Wananchi. Hii n nchi yetu, watu wachache hawawezi kuiendesha watakavyo kama wanavyoendesha familia zao..we must b strong and present our DEMANDS..and not requests, lazima tuhoji kwa umoja na ni LAZIMA watoe UFUMBUZI na siyo majibu ya kisiasa...wao walisoma kwa mikopo, na im sure hawakumbuki hata kuilipa..kwa nn cc tunazungushwa utafkiri wanatupa bure! Watanzania wenzangu, huu c muda wa kutegeana, tusiishi kwa mazoea, nyakati zimebadilika...ukitazama vizuri, utagundua kuwa tunaishi kweli, lakini haya c maisha ambayo tunapaswa kuishi...elimu(ya kata) tunayoipata , mikopo tunayoikosa, ni vikwazo vikubwa katika maisha, na hasa tukizngatia kuwa tupo kwenye soko la ushindani wa kielimu, soko la Afrika mashariki na dunia nzma kwa ujumla..Watanzania, tutachomoka kweli kwa staili hii??..wapo watakaotoka, lakini wengi tutabaki...tusikae kimya tukiogopa kwa kutishiwa FFU, Wakat FFU hao hao n wenzetu, ndugu zao pia wamekosa mikopo, na maisha yao magumu pia. ni FFU yupi unayemfahamu anamiliki VX V8? lakini n maofisa wa ngapi wa bodi wanamiliki zaidi ya hapo! hatusemi kama n wezi, hatuna ushahidi..lakini tunautafuta..ila wawe na ile hali ya kutujali wanafuzi ambao tunadamkia offisini kwao na tunazungushwa ..tusiwe na wasiwasi FFU watakuwa pamoja nasi kama tutadai madai yetu kwa utaratibu na hasahasa madai hayo yakiwa YAMSINGI...Tunaimba MUNGU IBARIKI TANZANIA..lakini hizo baraka zitakuja vp kama tunayafumbia macho maovu yanayojitokeza kwa sababu ya hofu ya kuwekwa 'ndani'? tutabarikiwa sote tukiwa nchi moja kama sote tutakuwa pamoja katika kutafuta haki tukifuata Taratibu na kwa kuzingatia Kuwa sheria n msumeno usiowakata wanyonge tu, bali hata mabepari wanaitumia mihuri ya offisi zao katika kuonea wanyonge, na kujitengezea sheria zinazowakinga dhidi ya adhabu...
 
Wanafunzi tumetimiza malengo yetu kwa kufaulu tena kwa kusoma kwa shida nyingi ila serikali yetu imeshindwa kutimiza wajibu wake ilihali ilikuwa inajua idadi yote ya wanafunzi.
 
Kitakachosaidia ni migomo, maandamano na mengine kama hayo. Continuous students naombeni sana muwasaport madogo sisi tuliopo kitaa tupo pamoja nanyi hata wakifunga chuo bora haki ipatikane.
 
Back
Top Bottom