VUTA-NKUVUTE
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,135
- 17,802
Kila uchao, Prof. Ibrahim Haruna Lipumba na Maalim Seif Sharif Hamad wamekuwa 'wakipimana ubavu' ndani ya CUF. Imefikia hadi CUF kuonekana imegawanyika kati ya CUF Bara na CUF Zanzibar. Hadi sasa, hakuna aliyevuka bahari na kwenda kwa mwenzake kufanya ziara au mkutano.
Ni kama kila mmoja amemiliki kwake. Suluhisho lisilo na vitisho ni hili. Wawili hawa wanapaswa kugombea Uenyekiti wa CUF Taifa. Wanapaswa kuchukua fomu;kupiga kampeni na kupigiwa kura. 'Mbabe' ataibuka kidedea kwenye sanduku la kura. Hilo litamaliza mvutano usio na mfano kati yao.Au mnaonaje?
Nimekumbuka, Prof. Lipumba alishafukuzwa na kuvuliwa uanachama wa CUF! Awapishe wenye chama chao. Tunakaribia kumchoka!
Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam