Suluhisho la matatizo ya ndoa/mahusiano......

ngoja nifanye kazi moja hivi halafu nakuja kama nusu saa hivi,tujaribu kuweka mambo sawa!manake mi huwa naumia sana ndoa kitu ndoa kinapofika hatua hii!naumia sana kwa kweli!

karibu mamito nakusubiria kwa hamu.
 
Sijaona tatizo lolote kubwa la kutisha hapo, ni tatizo la kawaida sana kuchokana sometimes, mwambie mwanadada asithubutu vidumu ni sumu, wanawake hatuwezi hayo mambo atalowea huko maana wanawake tumeumbwa kupenda na sio kutimiza haja za mwili tu, aongeze manjonjo, akunjue sura mumewe kashasema anaogopa hiyo sura yake aliyoikunja jamani. Atabasamu, asamehe, amwambie mume wake I love you so much darling kwa maneno na matendo, aone miujiza ikitendeka ndani ya ndoa yake.

Amin destiny1, asante sana kwa maneno yako mazuri, ntawakilisha kama ulivosema. Ubarikiwe.
 
usikatae wanaume na pesa wachana nao kabisa wakifanikiwa aiseee hutawaona kabisa nakwambia ikiisha atarudi kama digidigi jmosi nimekutana na rafiki yangu akawa ananieleza the same thing wanaume na pesa ni hatari sana nakiri hili

nabaki nnajiuliza suluhisho la tatizo hili ni nini? lini itakuwa mwisho wake?
Je itafika mahali kutakuwa na ndoa bila matatizo kama haya?
 
HAPO FURAHA HAIWEZI KUWA NA AFYA, STORI KAMA HIZI ZITAOGOPESHA VIJANA KUOA/LEWA! au ndio changamoto ?

ni kweli mambo haya yanawaogopesha vijana kuoa na kuolewa ila jiulize, vijana hao wanaoogopa kuoa na kuolewa wanamaliza haja zao wenyewe kwa wenyewe vijana au ndo wanajikuta wanakuwa na mahusiano na waume za watu kujikidhi haja zao na kuepuka kuolewa wakati huo huo wanasababisha mtafaruku kwenye ndoa husika?
Lini tatizo hili litaisha? ni maswali mabayo najiuliza bila majibu....
 
sakapal' ebu chepuka ukasome waraka ulioletwa na mwanaJF cerengeti kuhusu NAMNA MWANAMKE anavyoweza kutumia nafasi zake kubadilisha maisha ya ndoa yake. Yamkini waweza kumsaidia nduyo na wewe pia. Inawezekana mleta waraka huo kaguswa na mada yako. Mwambie dada yako atulie nakumuomba Mungu. Mungu atatenda juu yake.
 
walaaahiiiiiiiiiiiiii nimekosa cha kusema

kwa nini? hujawahi kutana au kusikia wanandoa au watu walio kwenye mahusiano wamefarakana kutokana na maendeleo ya kifedha au baada ya kuwa na mafanikio?
 
sakapal' ebu chepuka ukasome waraka ulioletwa na mwanaJF cerengeti kuhusu NAMNA MWANAMKE anavyoweza kutumia nafasi zake kubadilisha maisha ya ndoa yake. Yamkini waweza kumsaidia nduyo na wewe pia. Inawezekana mleta waraka huo kaguswa na mada yako. Mwambie dada yako atulie nakumuomba Mungu. Mungu atatenda juu yake.

yaani nakushukuru sana, sijaona kitufe cha like, pokea like zangu mia. aminia sana kbm.
 
kha ila cpa ngumu jamani sioo kitoto. mhm ila kutomega K sasa huyu jamaa amezidisha huyo mke aende tuu nje bwana akunwe...kwani umeambiwa ndoa mali au watoto...ndoa kukunwa bwana asikudanganye mtu
 
kha ila cpa ngumu jamani sioo kitoto. mhm ila kutomega K sasa huyu jamaa amezidisha huyo mke aende tuu nje bwana akunwe...kwani umeambiwa ndoa mali au watoto...ndoa kukunwa bwana asikudanganye mtu

ni kweli cpa ni ngumu lakini hajaianza leo alianza tangu wameoana wako kwenye nyumba ya kupanga, leo hii wanaishi maisha ya kifahari CPA ndo inakuwa CCPPPAAAAA.....!!! yaani akiamka tu asubuhi ni CPA kurudi usiku mnoo na akirudi kachoka hata kamchezo hataki, hivi ninavowajua wanaume kweli ulale kitanda kimoja na mwanamke bila kuvaa nguo usiku kucha bila hata kusimamisha kweliii???? mi haijanitokea hii, kwenye boma yangu kila siku inasimama hadi nakimbia mwenyewe sasa huyu shemeji yangu kazidisha huko nyumba ndogo hadi huduma ndani hatoi yaani namuonea huruma dada yangu yuko soo deperate....
 
hahahha kumbe wengie weupe kwenye namba hata me sio mzuri kivile, ila imeniuma saaana kuona CPA inamaliza ndoa ya nduguyo

we acha tuu mi namba niliziacha kwenye madaftari tuu, niambie ngwini ndo tutafanya ligi, ila ni kweli kabisa hii CPA inamaliza ndoa ya dada yangu, ninachoogopa zaidi ameshachoka na anataka kutoka najitahidi kumsihi hasa juu ya watoto watapata shida ila ndo amekata tamaa kabisa
 
Najua ni ngumu sana pindi upendo unapopungua halafu jitihada za kunusuru ndoa zikiwa zinafanywa na upande mmoja. Ushauri, wangu mwombe dada yako asiondoke bali abadili mfumo wake wa maisha mathalani kama anajisikia kutoka kwenda kusafisha ubongo Club, Party, vacation, kutembelea jamaa afanye hivyo. Kama Shemejio ana cheat zile guilt feelings zitamfanya ahisi anaibiwa/revenge flani. Pia wakiwa mbali kwa muda mfupi kila mtu anatumia muda wake inaweza kumfanya Shemejio kujirudi au kupotea jumla. Siku zote huwa ninasema marriage is a complicated chemistry.
 
asante sana, what u say is very true.
 
Kama inawezekana jaribu kumshawishi nduguyo na Shemejio wapate ushauri wa kiroho au kwa Social Counselor
 
Back
Top Bottom