FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 92,872
- 109,184
Si kweli, walio kuuza wazungu na babu zako, hao waliuondoa utumwa.Kweli Waafrika tunasahau kabisa . Hawa hatuna undugu nao walituuza kama kuku hawa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wazungu mpaka leo hii wanawanunua na kuwauza, huelewi hilo?
Unaelewa meli ya kwanza kupeleka Waafrika America iliitwa Jesus, yes Yesu?