Suleiman Kova: Mtu anayekuwa katika msongo wa mawazo anaweza kufanya kama Askofu Gwajima, hajiamini na haamini wengine

Inakuwaje ujibu comment yangu kwa kutumia wingi? simuwakilishi yeyote humu ndani.

Ndio namjua Yesu, ndio Namfuata, na ameniambia Gwajima sio Askofu ni tapeli.

Sio mstari mmoja, ninayo ya kutosha, ndio maana nasisitiza Gwajima sio Askofu anawadanganya wajinga kama wewe.
You are right. Cheers. You deserve a cold drink on my account. Tatizo ni makato ya tozo. Nigekutumia offer yangu electronically.
 
Si wanasema sumu haiwadhuru? Sasa Gwajima leo hayaamini maneno ya Biblia au mnaoutetea ujinga wake nanyi hamuiamini Biblia?

Marko 16:
15 Akawaambia, Enendeni ulimwenguni mwote, mkaihubiri Injili kwa kila kiumbe.
16 Aaminiye na kubatizwa ataokoka; asiyeamini, atahukumiwa.
17 Na ishara hizi zitafuatana na hao waaminio; kwa jina langu watatoa pepo; watasema kwa lugha mpya;
18 watashika nyoka; hata wakinywa kitu cha kufisha, hakitawadhuru kabisa; wataweka mikono yao juu ya wagonjwa, nao watapata afya.
Imeandikwa usimjaribu Bwana Mungu wako, yaani machale yakucheze alafu useme Mungu ataniokoa utakufa Kama mpumbavu mithali 27:12
Yesu alisema muwe wajanja Kama nyoka.
Gwajiboy hapo kaepa
 
Askofu Gwajima amefanya kitu sahihi. Kupewa kiti kingine na kubadilishiwa mic (jambo ambalo hakuna aliyelitegemea) linampa confidence ya kutodhurika kama kuna aliyetaka kuvitumia vitu Hivyo kumdhuru.

Mimi naona ni kitu kizuri ili kusijekuwa na na hisia za kudhuriwa.
It's ok.
 
Si wanasema sumu haiwadhuru? Sasa Gwajima leo hayaamini maneno ya Biblia au mnaoutetea ujinga wake nanyi hamuiamini Biblia?

Marko 16:
15 Akawaambia, Enendeni ulimwenguni mwote, mkaihubiri Injili kwa kila kiumbe.
16 Aaminiye na kubatizwa ataokoka; asiyeamini, atahukumiwa.
17 Na ishara hizi zitafuatana na hao waaminio; kwa jina langu watatoa pepo; watasema kwa lugha mpya;
18 watashika nyoka; hata wakinywa kitu cha kufisha, hakitawadhuru kabisa; wataweka mikono yao juu ya wagonjwa, nao watapata afya.
Hutakiwi kufa kifala Mungu ametupa akili na marifa
 
Inakuwaje ujibu comment yangu kwa kutumia wingi? simuwakilishi yeyote humu ndani.

Ndio namjua Yesu, ndio Namfuata, na ameniambia Gwajima sio Askofu ni tapeli.

Sio mstari mmoja, ninayo ya kutosha, ndio maana nasisitiza Gwajima sio Askofu anawadanganya wajinga kama wewe.
Mkuu kwani ili awe askofu inatakiwa aweje?
 
Si wanasema sumu haiwadhuru? Sasa Gwajima leo hayaamini maneno ya Biblia au mnaoutetea ujinga wake nanyi hamuiamini Biblia?

Marko 16:
15 Akawaambia, Enendeni ulimwenguni mwote, mkaihubiri Injili kwa kila kiumbe.
16 Aaminiye na kubatizwa ataokoka; asiyeamini, atahukumiwa.
17 Na ishara hizi zitafuatana na hao waaminio; kwa jina langu watatoa pepo; watasema kwa lugha mpya;
18 watashika nyoka; hata wakinywa kitu cha kufisha, hakitawadhuru kabisa; wataweka mikono yao juu ya wagonjwa, nao watapata afya.
Mtume MOHAMAD wakati mwingine aliingia vitani, kwanini asikae tu amtegemee MUNGU?
 
Askofu tapeli, yaani haogopi Corona lakini anaogopa kiti na microphone!!! Watu wanaomfuata huyu jamaa na kusikiliza pumba zake ni wajinga zaidi yake yeye mwenyewe, serikali imefanya vyema kumpuuza, ukikimbizana na kichaa nawe utaonekana kichaa
Ogopa mtumishi wa Mungu anayelindwa na mabaunsa
 
Kumbe kova nae alikuwa akiwahoji watuhumiwa kwa kuwabana

Halafu si kuna video bwana Gwajima anajitapa kumfuta Kova kwenye ulimwengu wa vyeo
 
Si wanasema sumu haiwadhuru? Sasa Gwajima leo hayaamini maneno ya Biblia au mnaoutetea ujinga wake nanyi hamuiamini Biblia?

Marko 16:
15 Akawaambia, Enendeni ulimwenguni mwote, mkaihubiri Injili kwa kila kiumbe.
16 Aaminiye na kubatizwa ataokoka; asiyeamini, atahukumiwa.
17 Na ishara hizi zitafuatana na hao waaminio; kwa jina langu watatoa pepo; watasema kwa lugha mpya;
18 watashika nyoka; hata wakinywa kitu cha kufisha, hakitawadhuru kabisa; wataweka mikono yao juu ya wagonjwa, nao watapata afya.
Nimeipenda nukuu yako.Huu Ni msumari wa Moto kwa Gwajima
 
Si wanasema sumu haiwadhuru? Sasa Gwajima leo hayaamini maneno ya Biblia au mnaoutetea ujinga wake nanyi hamuiamini Biblia?

Marko 16:
15 Akawaambia, Enendeni ulimwenguni mwote, mkaihubiri Injili kwa kila kiumbe.
16 Aaminiye na kubatizwa ataokoka; asiyeamini, atahukumiwa.
17 Na ishara hizi zitafuatana na hao waaminio; kwa jina langu watatoa pepo; watasema kwa lugha mpya;
18 watashika nyoka; hata wakinywa kitu cha kufisha, hakitawadhuru kabisa; wataweka mikono yao juu ya wagonjwa, nao watapata afya.
Kwa hiyo unamaanisha aliwekewa sumu? Tuambie maana Inaelekea unajua mengi
 
Suleiman Kova, kamanda wa polisi aliyewahi kutamba kwa kuzuia uhalifu akiwa RPC kwenye mikoa mbalimbali ameongelea hoja ya Gwajima kuomba mabadiliko ya mic na kiti. Amesema kwa uzoefu wake ndani ya Jeshi la Polisi na kuhoji watuhumiwa huwa ni suala la saikolojia kwa mtu mwenye msongo wa mawazo na kutojiamini yeye mwenyewe na kutoamini wengine.

Pia, soma=> Bungeni: Askofu Gwajima agoma kukalia kiti na kutumia kipaza sauti alichoandaliwa na Kamati ya Maadili

========

Kamanda Mstaafu Kanda Maalum ya Dar es saalaam Kamishna Suleiman Kova leo kwenye Amplifaya ya Clouds FM ameelezea tukio la Mbunge wa Kawe Askofu Josephat Gwajima kuomba kubadilisha kiti na microphone vilivyokuwa vimeandaliwa kwa ajili yake kuvitumia wakati akihojiwa na Kamati ya Bunge Dodoma, Kova ameelezea tukio kama hili kwa kutumia uzoefu wake akiwa Polisi na kuhoji Watu mbalimbali wenye tuhuma.

"Wakati mwingine Mtu akishafanya jambo flani anakuwa na hisia flani ambazo sio za kawaida labda anafikiri nikikaa hapa naweza nikadhurika, ni tatizo la kisaikolojia kwa Mtu ambae ana msongo wa mawazo anakuwa hajiamini na haamini Mtu yeyote yule, kwahiyo anaweza kufanya jambo lolote lile”

"Mfano mimi zamani nilikuwa nahoji Wahalifu, akiletwa kwangu akisikia ni Kova anapoingizwa mule ndani anadondoka chini paap bila kumgusa, yani anaona amekutana na kitu cha hatari sana kutokana na yeye anavyoelewa, kama ni madhambi anayakumbuka yote"

Kamanda Mstaafu Kanda Maalum Dar es salaam Kamishna Suleiman Kova.
Kova na bifu na chuki binafsi kwa Askofu Gwajima. msikilize hapa Gwajima akielezea kuhusu Kova.
 
Nova bana, wewe kula pensheni tu.
 
Kama nakumbuka vizuri ni kama kuna siku Gwajima aliwahi kumnanga KOVA kwamba alikutana nae supermarket moja na alikua mnyonge sana, may be Kova alikua amepata naamna ya kumjibu Gwajima as well.
 
Si wanasema sumu haiwadhuru? Sasa Gwajima leo hayaamini maneno ya Biblia au mnaoutetea ujinga wake nanyi hamuiamini Biblia?

Marko 16:
15 Akawaambia, Enendeni ulimwenguni mwote, mkaihubiri Injili kwa kila kiumbe.
16 Aaminiye na kubatizwa ataokoka; asiyeamini, atahukumiwa.
17 Na ishara hizi zitafuatana na hao waaminio; kwa jina langu watatoa pepo; watasema kwa lugha mpya;
18 watashika nyoka; hata wakinywa kitu cha kufisha, hakitawadhuru kabisa; wataweka mikono yao juu ya wagonjwa, nao watapata afya.
Biblia n neno la Mungu, halitafsiriwi kwa mihemuko, umeelewa hiyo verse out of context..
 
Back
Top Bottom