Sukari ya warembo hapo vipi!!!!!!!!

Heaven on Earth

JF-Expert Member
Mar 21, 2013
37,226
26,638
Ni gossip za hapa na pale wakati tukiendelea na majonzi ya msanii mangwair..,

MWAIPOPO+048.JPG


8.JPG


duh kuna watu ni wapekuzi
 
this is beyonds gossip duh bongo kazi kweli kweli.
 
Ebu tujuze basi,maana hiyo picha kama naielewa af siielewi vile,ebu tiririka mrembo
 
Bwa chuchu nimekupenda bureeee,eti amepata hedhi yake mwezi huu??,aaah aaah dah u made my made bro
 
Wanafanya mawasiliano na warembo

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Ninachoona mimi Diamond amekaa kwa nidhamu ila walio around wapo busy na simu zao, na hata alipolazimika kutumia simu ameinama tofauti na wenzake. Kwangu Diamond yupo ok.
 
jamaa bana kwani huwezi kwenda kwenye msiba hujavaa vipini na viduku ......hamna mazingatio ya msiba kabisa hapo...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom