Sukari ya Uganda sawa, korosho zetu vipi? Kwahiyo jibu la waziri lilikuwa nonsense!

Zygot

JF-Expert Member
Apr 14, 2016
2,238
2,866
Sukari ya Uganda ilishaleta tatizo la kisiasa Kenya. Ni Sukari inayotokana na viwanda vya Wahindi waliowekeza Uganda. Sasa naona imehamia Tanzania

Haina shida ni kawaida kwa kila nchi kuwasaidia wazalishaji wake lakini, hata sisi Korosho zetu vipi? Mbaazi hazina soko, Pamba haina soko, Mazao kama kahawa ni shida tu! Hatujasikia Rais akihangaika kiasi hiki hadi kutukana waziri wake mbele ya Rais wa Uganda.

Yaonekana kila anayemtembelea rais, anapewa ahadi nzito. This is to be easy-going! Na kutaka sifa za kizembe Fulani hivi!
 
Tatizo ni mzimu wa Magu unawatesa, wanajaribu kila namna kumaliza kila kitu kilichokuwa na uhusiano wowote ule na Magu, ndo maana hakuna logic yoyote kwenye maamuzi yao, siajabu sababu hasa ni kutaka kumfurahisha Museveni ambaye alikuwa karibu na Magu sasa wamuweke upande wao.

Hawa watu hawana mapenzi yoyote wala hawajali chochote kuhusu Tanzania isipokuwa wao wenyewe .

Fikiria Bwawa la Nyerere lingetuingizia Megawatt zaidi ya 2000 hii ingepunguza bei ya umeme/ kWh kwa kaisi kikubwa sana na kupunguza gharama ya uzalishaji na mwishowe bei ya bidhaa madukani pamoja na sukari yenyewe au mafuta ya kula lkn hawalitaki na wana- sabotage, kwa nini ?
 
The problem:-

http://www.xinhuanet.com/english/2020-12/27/c_139622098.htm
.....Kenya had barred sugar imports from Uganda, arguing that most of the sugar did not originate from the east African country to benefit from regional trade protocols.....

https://globalvoices.org/2020/03/09/a-sweet-deal-sugar-war-ends-between-tanzania-and-uganda-after-years-long-embargo/
.....Tanzanian authorities claimed that imported sugar from Uganda was not actually manufactured there and instead had been imported from Kenya and repackaged in Uganda..........The Magufuli administration imposed a 25 percent tax on imported sugar from Uganda, according to The Citizen. By 2018, Tanzania halted the issuance of permits, essentially banning sugar imports from Uganda, according to the East African.....
 
Sukari ya nje haijaanza kuwa tamu leo😁😁😁
0n3.jpg
 
Kwa hiyo nchi hii mwenye mapenzi ya kweli na dhati alikuwa ni hayati JPM tu?!!!😲😲😲

Hivi mnafikiria kwa kutumia kiungo gani mbali na ubongo?!!!!

SIEMPRE JMT
NCHI KWANZA
 
Uagizaji sukari utampunguzia mzigo mlaji huku UKIONGEZA CHACHU ya viwanda vyetu kuzalisha zaidi na kuondokana na umangimeza..........

SIEMPRE JMT🙏
NCHI KWANZA💪
 
Sukari ya Uganda ilishaleta tatizo la kisiasa Kenya. Ni Sukari inayotokana na viwanda vya wahindi waliowekeza Uganda. Sasa naona imehamia Tanzania

Haina shida ni kawaida kwa kila nchi kuwasaidia wazalishaji wake lakini, hata sisi Korosho zetu vipi? Mbaazi hazina soko, Pamba haina soko, Mazao kama kahawa ni shida tu! Hatujasikia Rais akihangaika kiasi hiki hadi kutukana waziri wake mbele ya Rais wa Uganda.

Yaonekana kila anayemtembelea rais, anapewa ahadi nzito. This is to be easy-going! Na kutaka sifa za kizembe Fulani hivi!
Krosho zimefanya nini? Ni wakati muafaka hilo zao liachwe kwenye mikono huria ya wanunuzi.
 
Sukari ya Uganda ilishaleta tatizo la kisiasa Kenya. Ni Sukari inayotokana na viwanda vya wahindi waliowekeza Uganda. Sasa naona imehamia Tanzania

Haina shida ni kawaida kwa kila nchi kuwasaidia wazalishaji wake lakini, hata sisi Korosho zetu vipi? Mbaazi hazina soko, Pamba haina soko, Mazao kama kahawa ni shida tu! Hatujasikia Rais akihangaika kiasi hiki hadi kutukana waziri wake mbele ya Rais wa Uganda.

Yaonekana kila anayemtembelea rais, anapewa ahadi nzito. This is to be easy-going! Na kutaka sifa za kizembe Fulani hivi!
Kabla hata ya kulalamikia korosho, mbaazi, Uganda wanaagiza hivi vitu
 
Nyie ni mabingwa wa kufunga nipaka kwa wanunuzi wa mazao yenu.
 
Sukari ya Uganda ilishaleta tatizo la kisiasa Kenya. Ni Sukari inayotokana na viwanda vya wahindi waliowekeza Uganda. Sasa naona imehamia Tanzania

Haina shida ni kawaida kwa kila nchi kuwasaidia wazalishaji wake lakini, hata sisi Korosho zetu vipi? Mbaazi hazina soko, Pamba haina soko, Mazao kama kahawa ni shida tu! Hatujasikia Rais akihangaika kiasi hiki hadi kutukana waziri wake mbele ya Rais wa Uganda.

Yaonekana kila anayemtembelea rais, anapewa ahadi nzito. This is to be easy-going! Na kutaka sifa za kizembe Fulani hivi!
Korosho na mbaazi aliharibu yule mwendawazimu tuliyemzika Chato tarehe 27/ 03/ 2021. Alipomvuruga Yusuf Manji kuna watu walishangilia ila wakasahau kuwa Manji anaajiri watanzania 3,000 wanaopata mshahara moja kwa Moja na zaidi ya 500,000 kwenye value chain ya biashara ya mbaazi na vitu vingine. Manji alikuwa ananunua kilo Moja ya mbaazi kwa Tsh 1,500 na alipofirisiwa na Magufuli bei ika drop hadi Tsh 150/

Tumuombee Rais SSH azidi kuiponya nchi, ilijaribiwa big time. Wenye akili wanaelewa ila wale wa la 7 wataona nachafua legasi ya Dikteta wao.
 
hiyo sukari ya uganda inazalishwa wapi uganda? Au ni madili ya mafisadi wa bongo, watakwenda Brazili wananunua sukari kisha viroba vinachapwa made in uganda?
 
Kabla hata ya kulalamikia korosho, mbaazi, Uganda wanaagiza hivi vitu
Kwani tunatafuta buttertrade? Au rais unataka aombe M7 anunue korosho, kwani rais hajui wanunuzi wa Korosho ni kina nani?
 
Korosho na mbaazi aliharibu yule mwendawazimu tuliyemzika Chato tarehe 27/ 03/ 2021. Alipomvuruga Yusuf Manji kuna watu walishangilia ila wakasahau kuwa Manji anaajiri watanzania 3,000 wanaopata mshahara moja kwa Moja na zaidi ya 500,000 kwenye value chain ya biashara ya mbaazi na vitu vingine. Manji alikuwa ananunua kilo Moja ya mbaazi kwa Tsh 1,500 na alipofirisiwa na Magufuli bei ika drop hadi Tsh 150/

Tumuombee Rais SSH azidi kuiponya nchi, ilijaribiwa big time. Wenye akili wanaelewa ila wale wa la 7 wataona nachafua legasi ya Dikteta wao.
NAwe ni bwege tu! Yaani nchi inaweza ikalima mbaazi kwa ajili ya soko la mtu mmoja? Huyo Manji ndo ashikilie maisha ya wakulima wa mbaazi! Whata a stupid reasoning?
 
The problem:-

http://www.xinhuanet.com/english/2020-12/27/c_139622098.htm
.....Kenya had barred sugar imports from Uganda, arguing that most of the sugar did not originate from the east African country to benefit from regional trade protocols.....

https://globalvoices.org/2020/03/09/a-sweet-deal-sugar-war-ends-between-tanzania-and-uganda-after-years-long-embargo/
.....Tanzanian authorities claimed that imported sugar from Uganda was not actually manufactured there and instead had been imported from Kenya and repackaged in Uganda..........The Magufuli administration imposed a 25 percent tax on imported sugar from Uganda, according to The Citizen. By 2018, Tanzania halted the issuance of permits, essentially banning sugar imports from Uganda, according to the East African.....
Huyu rais ameshindwa kuongeza uelewa wa mambo yanayomzunguka, anaishia hotuba duni, uninformed, uncultured yet unrepentant! Yaani hata hajui kutumia vyombo vyake, anaishia kusema ni sukari ya Uganda. Hana hakika kama ni sukari ya Uganda.
 
NAwe ni bwege tu! Yaani nchi inaweza ikalima mbaazi kwa ajili ya soko la mtu mmoja? Huyo Manji ndo ashikilie maisha ya wakulima wa mbaazi! Whata a stupid reasoning?
Hakuna unachojua nenda kakojoe halafu kalale. Pimbi hanithi wewe
 
Back
Top Bottom