Sukari ya kutosha yaingia bandarini leo

Judi wa Kishua

JF-Expert Member
Apr 15, 2012
1,066
1,048
Nimeshuudia sukari nyingi sana bandarini iliyoagizwa na serikali. Itaanza kusambazwa kesho asubuhi nchi nzima.

Utaratibu utakaotumika kuwafikia wananchi nitawaambia baadae kidogo.

Chanzo: Mimi mwenyewe
 
Taratibu utauwa watu hapa, kwa maana kuna takataka wana roho mbaya kama fisadi lowasa hata huruma hawana na kutwa nzima wanashinda wakiiombea nchi yetu mabaya ili wafaidike sijui hata watakachofaidika ni kipi kwa maana kama ni Uraisi fisadi Lowasa hawezi kuwa Raisi wa JMTZ hata iweje, hivyo ujinga tu na kuwa na IQ ndogo!
Kuna wakati huwa nawaza mengi kuhusu wewe binadamu!uelewa wako maisha yako na hata nidhamu yako
 
ile ya sukari ya kagera sugar, mtibwa, tpc.... bei elekezi ilikuwa ni Tsh 1800.

serikali inapaswa iuze hiyo sukari Tsh 1500 au bei ya chini ya hapo kwa kg 1....

Hilo linawezekana paspo hata kuongeza ruzuku.

Mbona zanzibar sukari bei rahisi?
 
Back
Top Bottom