Sukari toka Nje: Mary Nagu ahojiwa na PCCB kwa kwenda kinyume na Magufuli

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Aug 24, 2011
51,970
114,269
Bunge lenyewe limejaa wabunge wala rushwa!

MPs are getting paid to plant questions and enticing or inciting government official to commit an illegal act.

Mbunge kama Kangi Lugola alikuwa akiongea bungeni mpaka mapovu yanamtoka kutuaminisha kama ni mzalendo kumbe ni mla rushwa mkubwa. Kwa sasa tumefahamu sababu ambazo baadhi ya wabunge walikuwa wanataka wapangwe kwenye kamati za bunge ambazo zinahusu usimamizi wa taasisi za fedha nchini.

Stupid MP's
 
Mimi nilipoona yake mapendekezo ya Kamati nilistuka sana...nikahisi kama wabunge wamevuta mipunga
 
Uyo mama alikua bingwa wa kutetea kila upuuzi wa serikali ya Jk..Ata mkiweka ndani akaoze sio mbaya
 

Attachments

  • 1459656919461.jpg
    1459656919461.jpg
    8.1 KB · Views: 100
CCM imeoza kwa rushwa. Mpaka kufikia June 2020, wabunge wote wa CCM watakuwa kila mmoja ama amehojiwa na PCCB au kupandishwa kizimbani kama ilivyo kwa Richard Ndassa na Kangi Lugora.
 
Tuwekeeni mapendekezo ya kamati tuweze kufanya maamuzi yetu na si kuhukumu kwa mkumbo wa PCCB. Kumbukeni swala la kuagiza sukari ama la ni mjadala mpana kwenye jamii yetu. Vilevile haya ni mapendekezo ya tume halali ya bunge. Yote kwa yote tusiwe wepesi kuhukumu kamati na mama Nagu.
 
Aswekwe tu na pccb kama atabainika maana naye atakuwa katumwa tu na wafanyabiashara. Bodi ya sukari ndo walituambia sukari ipo ya kutosha na ndo tunategmea watuambie kuwa sasa imepungua na hivyo wamshauri rais kuagiza. Lakini anapokuja yeye na kutoa tamko lazima achunguzwe.
 
Back
Top Bottom