SUGU umenunuliwa kwa shilingi ngapi? Vinega na Magenge wanauliza!

Ki ukweli sugu mi ni mmoja kati ya watu waliokuwa nyuma yako kuhusu kuupinga ukandamizaji unaendelea kufanywa na hao jamaa wanaojiita mawingu, sioni sababu ya raisi wa mbeya kushikana nao mikono wakati hali iko vile(ukandamizaji wa hip hop) ki ukweli nashawishika kuamini kuwa sugu ulikuwa na maslahi binafsi, naumia sana na hili lililotokea na naamini kamwe nchi hii haitaendelea kamwe kama wasaliti ni wale kati ya watu tunaowaamini sana, sina mengi but inaumiza sana. aluta continue VINEGA.
 
Ni dhana ya kitoto kusema Sugu kapewa hela za Malaria kama vile mmeziona. Fuatilieni kama pesa hizo zipo ndo mseme. Kwa sasa pesa hizo hakuna na MNM haiko kama mnavyodhani. Ajenda ya sasa kwenye makubaliano ya Sugu na Ruge ni maslahi ya vijana na hasa Muziki wa kizazi hiki. Sugu kapata alichokuwa akikipigania, TUMA na Studio ili hao Vinega waitumie studio hiyo na chama chao cha TUMA kiweze kujiendesha kutetea haki zao. Hao wenye mashaka naona ni wavivu wa kufikiri na wanataka watu waone kama hakukuwa na jitihada zozote katika kuleta mafanikio kwa vijana. Pongezi kwa Tundu Lissu, nchimbi na Shigongo kwa kulisimamia hili, achaneni na vilaza na wenye njaa wasiotakia mema taifa jipya
 
CCM ZNZ + CUF ZNZ =CCM............SUGU + RUGE= Clouds FM....... Poleni vinega imekula kwenu hiyo..SUGU KISHALAMBA CHA KWAKE BIFU KAWEKA PEMBENI...Nadhani ni kweli mlidandia treni kwa mbele....Kama kweli sugu alikuwa na nia ya kweli basi angesubiri YATEKELEZWE YALE ALOKUWA AKIPIGANIA HALAF NDO ATANGAZE AMANI...NA SIO KUTANGAZA AMANI KABLA KUTEKELEZWA...WANGEPASWA KUWAPA MUDA WAONE WALOTAKA YAMETEKELEZWA AU HAPANA...NAANZA KUAMINI KUWA LILE LIKUWA NI BEEF LA MALARIA...TUMUAMINI NANI? HAWA NDO TULIKUWA TUNAJIVUNIA KUWAKABIDHI NCHI TEH TEH TEH..BADO KUNA KAZI KUBWA SANA KUPATA WA KUMPA NCHI HII.
 
Back
Top Bottom