Sugu: Ukiweka siasa pembeni, nampenda Mama Samia

Anampenda

Mmmmmh, Upendo wa Kiafrika au kizungu

Ukimwambia mzungu I love you ni kawaida lakini Ukimwambia mtu mweusi I love you ni shida na a namaanisha upendo hasa ule

Awe makini na upendo wake

Mimi nikiambiwa tu ninakupenda moja kwa moja lazima aliyesema tukakamilishe upendo wenyewe
\duuh!! kwahiyo wazazi wako hawajawahi kukuonyesha upendo? au ndio umekuwa ukikamilisha nao? hiyo imekaaje? Tafadhali tengua kauli yako kwa maslahi mapana ya heshima ya familia yako.
 
Sugu sio mstaafu alishindwa Ubunge,nilishawahi kusema Chadema ni CCM B
Basi kama ilivyo kwa jamaa ako mmoja aliye shika siti ya mbele kwenye huu uzi, hujui maana ya neno, UPENDO! Wewe kama ungekuwa naibu waziri wa habari, lazima ungezalishwa na mkuu wa fedha wa sasa!!
 
Back
Top Bottom