Elections 2010 Sugu: The Artist, the Politician and Mpiganaji

VoiceOfReason

JF-Expert Member
Nov 4, 2010
5,194
1,355
Nina uhakika sugu atafanya vyema sana kama mbunge; ila atakuwa na impact kubwa sana kama ataendelea na kuandika nyimbo sababu hizi zinafikisha ujumbe zaidi just imagine akitengeneza single beti la kwanza akaweka sera za chadema elimu bure n.k. alafu beti la pili akaonyesha zile ahadi za kufikilika za kuwaletea meli, bajaji kwa wajawazito na kuweka fly overs dar. Hapa ujumbe utafika kwa watu wengi kuliko mikutano ya Dr. Slaa.

Kwa hiyo please Chadema Sugu ni nyenzo muhimu mumtumie kufikisha ujumbe mimi mpaka leo nakumbuka wimbo wake wa ni wapi tunakwenda ulivyokuwa na message zilizoenda shule.

Lakini Be careful Sugu Punguza nyimbo za aina ya antivirus because wahenga walisema Never wrestle with the pig, cause you will all get dirty and people wont be able to tell the difference. So please Sugu bring more singles, na sababu utakuwa busy am sure wanajamvi watakuwa tayari kukupa lyrics za nyimbo tofauti
 
please kwa wale walio karibu na Sugu jamani mshaulini jamaa aendelee kutoa singles, tena kwa vile sasa issue sio kipato anaweza akazigawa bure mpaka vijijini
 
Yah.. Ni wazo zuri, Sugu ni siraha muhimu kwa ujumbe wake kufika pasipofikiwa...
Me nilikua Tabora kwa muda Mrefu, pale chadema hawajawahi kuja hamasisha kuhusu Operation Sangara..
Matokeo yake Slaa amekuja wakati wa kampeni tu..
So Chadema wasirudie tena makosa, waanze Mikakati mapema kwa ajili ya 2015..
Hasa kwa kumtumia pia Sugu..
 
IMG_0016.jpg
 
jamaa yuko juu. alipoporwa ule mradi wa malaria na wakubwa kumbe ikawa u-turn kuelekea upiganaji kwa haki za kiraia.
 
Sugu moto chiniiiiiii waaaaaaa sugu moto chiniiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
 
Ridhwani taama tupu haridhiki, na sasa wamepora ardhi Arusha. Bora Sugu kaingia bungeni
 
Sugu kama huwa unapita pande hizi please toa single ya kusaidia kampeni na uigawe bure mimi tajitolea kuisambaza bureee kwa watu, please kama kuna mshikaji wake hapa fikisha message
 
jamaa yuko juu. alipoporwa ule mradi wa malaria na wakubwa kumbe ikawa u-turn kuelekea upiganaji kwa haki za kiraia.

Ingawa sijamsikia akiliongelea hilo, naamini kunyang'anywa ile project ndio ilikuwa inspiration kubwa kwake kuingia kwenye siasa rasmi na kupigania haki. Sugu, you have made a history!
 
Hata watu kama Bob Marley walikuwa wanatumia hotuba za viongozi kama Marcus Garvey kutengeneza nyimbo (mfano War) kwahiyo hata msheshimiwa Sugu anaweza akatoa single ya hotuba za dr. slaa
 
Imetulia hiyo.
Sugu atazipata taarifa na kwasababu ni mwanaharakati hawezi kutuangusha.
Ni moto chini!!
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom