VoiceOfReason
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 5,194
- 1,338
Nina uhakika sugu atafanya vyema sana kama mbunge; ila atakuwa na impact kubwa sana kama ataendelea na kuandika nyimbo sababu hizi zinafikisha ujumbe zaidi just imagine akitengeneza single beti la kwanza akaweka sera za chadema elimu bure n.k. alafu beti la pili akaonyesha zile ahadi za kufikilika za kuwaletea meli, bajaji kwa wajawazito na kuweka fly overs dar. Hapa ujumbe utafika kwa watu wengi kuliko mikutano ya Dr. Slaa.
Kwa hiyo please Chadema Sugu ni nyenzo muhimu mumtumie kufikisha ujumbe mimi mpaka leo nakumbuka wimbo wake wa ni wapi tunakwenda ulivyokuwa na message zilizoenda shule.
Lakini Be careful Sugu Punguza nyimbo za aina ya antivirus because wahenga walisema Never wrestle with the pig, cause you will all get dirty and people wont be able to tell the difference. So please Sugu bring more singles, na sababu utakuwa busy am sure wanajamvi watakuwa tayari kukupa lyrics za nyimbo tofauti