Sugu: RC akisema atawatoa akina Roma Jumapili, ni kazi gani amewapa ambayo anajua hadi siku hiyo

Waziri Kivuli wa Habari Utamaduni na michezo Mhe Joseph Mbilinyi anaongea na waandishi wa habari muda huu kuhusu kupotea kwa Msanii Roma. Baada ya kauli ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paulo Makonda kusema msanii pamoja na mwenzake wanaweza kupatikana kabla siku ya jumapili

[HASHTAG]#WaziriKivuliHabari[/HASHTAG]

Wananchi wanahoji Roma na wenzake wako wapi sababu hawajui, lakini mtu anayejua walipo amesema watapatikana Jumapili.
Jana alisema hadi Jumapili Roma na wenzake watakuwa wamepatikana, sisi tunamtaka awaachi leo warudi kwenye familia zao.
Akisema atawatoa Jumapili, ni kazi gani amewapa ambayo anajua hadi siku hiyo watakuwa wamemaliza, atueleze.
[HASHTAG]#WaziriKivuliHabari[/HASHTAG]

Badala ya Wizara ya Habari kuomba ushirikiano wa wananchi, wamchukue huyo anayejua walipo.Mtu asiogope kupoteza uwaziri
Sugu ni mwehu amesahau alivyowatukana Watanzania wote kupitia Runinga kwa kunyoosha kidole cha kati? Na hakuna analoweza kusema tukamuamini mpumbavu na mjinga kama huyo. SHETANI KABISA HUYU.
 
nadhan kaul ya sugu imetekelezwa mubashara,katamka jana na jana hyoyo kaonekana! naona kuna kamchezo kilichezwa kimkakati haingii akilini mkuu wa mkoa atoe prediction as if ye2 kaamuru jambo lifanywe kwa duration! kwa kaul ya mkuu wa mkoa alipaswa kuhojiwa lkn kwa mazingira yaliyopo ktk nch hii ndio maana kaachwa huru! kaul zet zipmwe kabla ya kuzirelease kwa jamii!
 
Waziri Kivuli wa Habari Utamaduni na michezo Mhe Joseph Mbilinyi anaongea na waandishi wa habari muda huu kuhusu kupotea kwa Msanii Roma. Baada ya kauli ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paulo Makonda kusema msanii pamoja na mwenzake wanaweza kupatikana kabla siku ya jumapili

[HASHTAG]#WaziriKivuliHabari[/HASHTAG]

Wananchi wanahoji Roma na wenzake wako wapi sababu hawajui, lakini mtu anayejua walipo amesema watapatikana Jumapili.
Jana alisema hadi Jumapili Roma na wenzake watakuwa wamepatikana, sisi tunamtaka awaachi leo warudi kwenye familia zao.
Akisema atawatoa Jumapili, ni kazi gani amewapa ambayo anajua hadi siku hiyo watakuwa wamemaliza, atueleze.
[HASHTAG]#WaziriKivuliHabari[/HASHTAG]

Badala ya Wizara ya Habari kuomba ushirikiano wa wananchi, wamchukue huyo anayejua walipo.Mtu asiogope kupoteza uwaziri
Kweli hii sinema
 
Back
Top Bottom