Sugu: RC akisema atawatoa akina Roma Jumapili, ni kazi gani amewapa ambayo anajua hadi siku hiyo

siku zote ukwel unauma huwez ukatoa matumaini kwenye hali kama ile alafu pitia vizuri background za bashite ndo untag
Sifa kubwa ya kuwa na msamiati wa bashite ni kuwa na utaahira mkali. Nikupongeze kwa hilo. Kama huna utaahira basi ni ushaamba unakusumbua maana ili uonekane wa mjini basi neno bashite lisikutoke mdomoni hata pasipofaa.
 
Hivi bado mnaendeleaje kumsililiza huyu bwege sugu. Hata bungeni anaongeaga pumba tu. Sijui mbeya kwa nini wanamchaguaga. Hivi huyu kweli technical issues bungeni huwa anajadili kweli? Au anasubili mijadala ya kipumbavu ili adandie.
Mi huwa hawa watu akina sugu na lema nawaona kama akili ndogo vile.
Wanaweza kweli kujadili mambo mazito ya Sera au kutunga sheria?
Hii nchi inashangaza sana mnaongozwa na mawazo ya Malaya mange? Ndo mana sisi wasomi tunawadharau has a upinzani
Una usomi gani we mbugilambugila
 
Sifa kubwa ya kuwa na msamiati wa bashite ni kuwa na utaahira mkali. Nikupongeze kwa hilo. Kama huna utaahira basi ni ushaamba unakusumbua maana ili uonekane wa mjini basi neno bashite lisikutoke mdomoni hata pasipofaa.
nashangaa hz like umezipataje maana inaonekana kabx nabishana na dogo wa o level
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom