Sugu: RC akisema atawatoa akina Roma Jumapili, ni kazi gani amewapa ambayo anajua hadi siku hiyo

Sugu fungueni kesi mahakama ya ICC kama mahakama za bongo zipo kisiasa zaidi. Huu ndio uwe mwisho wa bashite mbu$&,!' kabisa.
 
Hivi bado mnaendeleaje kumsililiza huyu bwege sugu. Hata bungeni anaongeaga pumba tu. Sijui mbeya kwa nini wanamchaguaga. Hivi huyu kweli technical issues bungeni huwa anajadili kweli? Au anasubili mijadala ya kipumbavu ili adandie.
Mi huwa hawa watu akina sugu na lema nawaona kama akili ndogo vile.
Wanaweza kweli kujadili mambo mazito ya Sera au kutunga sheria?
Hii nchi inashangaza sana mnaongozwa na mawazo ya Malaya mange? Ndo mana sisi wasomi tunawadharau has a upinzani
 
Jamani eeeh!! kauli ya Mkuu wa mkoa ni sahihi kutolewa katika mazingira yale. Alichokifanya RC ni kutopoteza matumaini ya kupatikana kwa Roma aliyokuwa nayo mke wa Roma na wasanii wengine. Iwapo RC angetoa kauli ya kukatisha taama kama vile hajui atawapata wapi au ngoja nijaribu angekuwa amepoteza matumaini waliyokuwa nayo wasanii na mke wa Roma.
Wewe kama mfanyakazi wa jamii usiwe unatoa majibu ya kukatisha tamaa wateja wako. Wakili hawezi kumwambia mteja kuwa kesi hii ngumu utafungwa kama wapo wa hivyo ni makanjanja. Pia kwa daktari. Polisi kumwambia mteja wake kuwa vitu vilivyoibwa haviwezi kurudi ni kosa kwani unakuwa umeondoa matumain ya mhusika ambayo ndio aliyobakinayo. Hivyo kauli ya RC ilifaa kwa wakati ule.
 
acha kutuletea ubashite ww!!! unadhani hatujui kuwa hili dili limepangwa na hawa wasukuma wawili!!!?
 
Back
Top Bottom