Sugu punguza starehe,fanya kazi ya jimbo

Status
Not open for further replies.

Judi wa Kishua

JF-Expert Member
Apr 15, 2012
1,066
1,047
namshauri mdogo wangu Sugu akuwe sasa aachane na mambo ya starehe na uuni wa kishamba afanye kazi ya jimbo....watu wa mbeya wenyewe wanamfananisha na jiwe kwa kusema"tunachagua jiwe kuliko mtu makini wa ccm" sasa huo ubunge aliobahatisha ahangalie asijeishia katikati kwa kutolewa na nguvu ya umma...jimboni wananchi wanachangamoto nyingi yeye anakimbilia dar kuimba kwa jaydee watu wa mbeya wamekasirika sana...

"uyu mhuni tusisubilie mpaka 2015 ndio tumtoe,tumuondoe sasa mji unazidi kuisha" alisikika kijana mmoja wa mwanjelwa kwa hasira akiwahamasisha wenzake waliokuwa wanamshangilia..

pia aache ulimbukeni wa mavazi sio kila sehemu anakwenda na migwanda yake ambayo sku izi haibanduki mwilini mwake,sehemu ya heshima na burudani kama ile sio kuvaa kama jambazi hakuwaona wenzake kina kavishe walivyotoka simple na smart..

[FONT='lucida grande', tahoma, verdana, arial, sans-serif][/FONT]​
 
Chuki binafsi azifai, tuziacheni. Kikwete Rais wa mikoa mingine Mbeya awamtambui.
Rais wa mbeya wanamwita Sugu, nani Sugu.
 
Wewe gamba la kike acha ushamba,wivu utakuua leo unajifanya msemaji wa wanambeya eti mara oh cjui mavazi...maisha binafsi ya sugu yanakuhusu nini?eti unajifanya mwanambeya umbeya na wivu unakusumbua we gamba la kike,ondoa porojo zako hiyo kazi waachie kina mwigulu nchemba a.k.a SAVIMBI
 
nasikia inanuka uvundo wa jasho la kucheza kwa stage,vilevile chawa wameweka makazi humo.

kwa hoja uliyoiandika hapa umevunja dhana nzuri ya Jamii Forums,home of Great Thinker,kuleta upuuzi wa kwenye ubanda,ambako laweza zungumzwa lolote,bila tafakuri. Shame on you...
 
nasikia inanuka uvundo wa jasho la kucheza kwa stage,vilevile chawa wameweka makazi humo.

Hii ndo tofauti kati ya JF ya miaka ile na ya sasa!!
Tunaweza kujivunia kua na members 130,000+ but swali la msingi ni kua Great thinkers wako wangapi??

Maana hata vitoto vya Facebook now tunagongana navyo huku.
 
namshauri mdogo wangu Sugu akuwe sasa aachane na mambo ya starehe na uuni wa kishamba afanye kazi ya jimbo....watu wa mbeya wenyewe wanamfananisha na jiwe kwa kusema"tunachagua jiwe kuliko mtu makini wa ccm" sasa huo ubunge aliobahatisha ahangalie asijeishia katikati kwa kutolewa na nguvu ya umma...jimboni wananchi wanachangamoto nyingi yeye anakimbilia dar kuimba kwa jaydee watu wa mbeya wamekasirika sana...

"uyu mhuni tusisubilie mpaka 2015 ndio tumtoe,tumuondoe sasa mji unazidi kuisha" alisikika kijana mmoja wa mwanjelwa kwa hasira akiwahamasisha wenzake waliokuwa wanamshangilia..

pia aache ulimbukeni wa mavazi sio kila sehemu anakwenda na migwanda yake ambayo sku izi haibanduki mwilini mwake,sehemu ya heshima na burudani kama ile sio kuvaa kama jambazi hakuwaona wenzake kina kavishe walivyotoka simple na smart..

[FONT='lucida grande', tahoma, verdana, arial, sans-serif][/FONT]​

Kajifunze kuandika kiswahili fasaha kwanza..
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom