Sugu:mpambanaji anaeteswa na makundi ya wasanii na chuki binafsi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sugu:mpambanaji anaeteswa na makundi ya wasanii na chuki binafsi

Discussion in 'Celebrities Forum' started by mwakichi, Nov 30, 2011.

 1. mwakichi

  mwakichi JF-Expert Member

  #1
  Nov 30, 2011
  Joined: May 14, 2011
  Messages: 420
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35
  Juzi tar 26 pale ustawi kamanda sugu alikinukisha mbaya kbsa na vijana kwa ujumla tulijitokeza cna katika kumpa kampani ya kunyanyua soko la bongo..lkn kilichoniuma ni kua wale nliowategemea wangekua bega kwa bega na kamanda waliasi mapema..mfano juma kiroboto kassim au juma nature,jmo..mchiz mox..gangwe hawa wote ni watu walioteswa sana na wadau wa mziki..
  hili lilitosha sana kuonyesha kua wasanii wa bongo hawana umoja wala hawataki mapinduzi ktk bongo industry..lkn pamoja na yote kuna wasanii wapo katika vinega kama kulipiza kisas kwa watu flan flaan..
  Juzi jumamosi kabla ya shoo nlipita katik wall ya soggy doggy nkakuta taarifa kamili ya mpango mzima wa shoo lkn kilichinikera ni kujifanya yy anauchungu saana hata kuliko wahusika wengine kwa kuporomosha matusi kwa watu hadharani
  Mfano:
  Alielezea story yake ya yy kutoka RFA ya mwanza na kuja Dar kua ni mpango wake na Ruge lkn alivyofika Dar Ruge alimwambia aendelee na mzik tuu kwan tayar ana wafanyakaz wa kutosha..Kitendo hiki c tuu cha kingwana bali ni unyama aliofanyiwa na Ruge..sasa naona kapata mahali pa kueleezea historia yake na kutukana wote wanaofanya kazi chin ya RUGE yaani CLOUDS..

  USHAURI WANGU KWA SUGU:
  1.Fanya hizi harakati na usizihusishe na siasa
  2.Wape somo wasanii wenzio wote kuhusu mikataba,na mambo yote ya msingi yanayomnufaisha msanii wa hapa nchini
  3.Thaman ya ngasa na Ronaldo haziwez lingana hivyo basi acha kutaka msanii wa kimataifa alipwe sawa na kitaifa.
  4.Usiwape nafas watu wenye chuki binafs kama soggy katka harakati hizi
  5.Jumuisha wasanii wote hata masharobaro ili wasijihis wapweke.
  6.mkutane wadau wote wa sanaa ya mziki..yaan radio stations,producers,menejas na wasambazaji ili mtatue hili tatizo


  NAKUTAKIA MAFANIKIO MEMA NA NTAKUPA USHIRIKIANO WANGU KTK HARAKATI HIZI
   
 2. chipanga

  chipanga JF-Expert Member

  #2
  Nov 30, 2011
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 661
  Likes Received: 141
  Trophy Points: 60
  Samahani mkuu.... yaani sijaelewa kbs hii story yako, lbd ufanye kuitunga upya tena, duh!!
   
 3. Mwita25

  Mwita25 JF-Expert Member

  #3
  Nov 30, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 3,840
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Mchanganyiko mwingine wa habari
   
 4. mwakichi

  mwakichi JF-Expert Member

  #4
  Nov 30, 2011
  Joined: May 14, 2011
  Messages: 420
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35
  hapo story ipo wapi?
   
 5. mwakichi

  mwakichi JF-Expert Member

  #5
  Nov 30, 2011
  Joined: May 14, 2011
  Messages: 420
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35
  Ndo hali halis kaka...wasanii kama juma nature,insp haroun,prof jay walitakiwa wampe umoja lkn c walimkimbilia fabolous
   
 6. mtu chake

  mtu chake JF-Expert Member

  #6
  Nov 30, 2011
  Joined: Aug 20, 2010
  Messages: 4,090
  Likes Received: 1,262
  Trophy Points: 280
  Nimekuelewa..mwakichi

  na hayo maneno niliwahi kuuwaambia wapambe wake...
  ....Mbn wamechanganya siasa..hili ukilitazama kijuu juu..unaweza usilione..lkn kitendo cha kuwapandisha na uwepo pale baadhi ya viongozi wa cdm..ni ttz
  ...pili..mbn ni hip hop tu?hakuna hata bongo fleva ..a.k.a wabana pua?..au waho hawaoni hizo dhuluma?
  ...na je..malipo ya Sugu ni sawa na Mapacha..mpk tuseme kuwa wasanii wa nje na wa ndani walipwe sawa?
   
 7. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #7
  Nov 30, 2011
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,797
  Likes Received: 36,826
  Trophy Points: 280
  [​IMG]
   
 8. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #8
  Nov 30, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  Polen sana kwa kazi ngumu ya kumuelewesha mtu asiyetaka kuelewa mapambano mema..
   
 9. Mbugi

  Mbugi JF-Expert Member

  #9
  Nov 30, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 1,488
  Likes Received: 100
  Trophy Points: 160
  Kichwa kigumu ila macho Makubwa IWEJE HUELEWI
   
 10. C

  Chogo matata Member

  #10
  Dec 1, 2011
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 71
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 13
  Virus wapo wengi kweli,Ruge kakulipa bei gani uwape w2 darasa?
   
 11. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #11
  Dec 1, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,333
  Likes Received: 22,181
  Trophy Points: 280
  hii thrad kila mtu kaielewa kivyake.
  Mi nimeelewa kuwa chochote anachokisema Ruge hakina ukweli ndani yake
   
 12. Meritta

  Meritta JF-Expert Member

  #12
  Dec 3, 2011
  Joined: Apr 26, 2011
  Messages: 1,304
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  jf haikosi jipya mweh
   
Loading...