naona yuko bize na kuvunja ndoa feki
SUGU MOTO CHINI, HOO, SUGU MOTO CHINI, ahhh CHADEMA HOYEEEEEEEEEEEE
Huyo dada anaitwa Shyrose Banji, ndio shemeji yetu huyo kwa Sugu ni meneja uhusiano wa NMB.Kwani huyo mwingine ni nani??
Tunaomba kiwango chake cha elimu ili tuoanishe na matendo yake.