Sugu moto chini: CCM tunawambia haya ili mje muwe wapinzani makini

Natamani kungekuwa na msamiati wa kujiuzulu kwa wabongo. Maana kwa makelele yote haya yanayopigwa wangekuwa wameshatikisika na kuchukua maamuzi. Ila inavyoonekana hakuna kitu kama hicho kwa hawa watu.
 
Sikuelewa alichokuwa nazungumza. Ilikuwa ni vurugu tu, mara Swiz, mara Katavi, mara Mbeya, mara vipepeo, mara mi Mkatoliki...kuna asiyejua CDM wamejaa wakatoliki???
 
Sugu amewakamata vilivyo!!

Hii ni dhoruba, kama si kuondoa nyumba basi lazima isepe na bati a. k. a mtoto wa mkulima!!
 
Wanasafirisha visivyo wezekana kusafirishwa, hvi twiga au tembo wanaeneaje kwenye ndege? Sugu hshima kwko kaka.
 
Sikuelewa alichokuwa nazungumza. Ilikuwa ni vurugu tu, mara Swiz, mara Katavi, mara Mbeya, mara vipepeo, mara mi Mkatoliki...kuna asiyejua CDM wamejaa wakatoliki???

Kichwa kikubwa hivyo hukuelewa?? Endelea kutoelewa tu!!

Wakati utafika utaelewa kwa lazima!!
 
Sikuelewa alichokuwa nazungumza. Ilikuwa ni vurugu tu, mara Swiz, mara Katavi, mara Mbeya, mara vipepeo, mara mi Mkatoliki...kuna asiyejua CDM wamejaa wakatoliki???

ni kweli..na hilo gamba huwezi kuelewa kitu!!!
 
Sikuelewa alichokuwa nazungumza. Ilikuwa ni vurugu tu, mara Swiz, mara Katavi, mara Mbeya, mara vipepeo, mara mi Mkatoliki...kuna asiyejua CDM wamejaa wakatoliki???

Kuna siku utaelewa tu usijali. Hata Yesu alipotoka jiji la Jerusalem alipokuwa kwenye mlima aliulilia mji wa Jerusalem kwa kusema ' ewe Jerusalem ni lini utaacha kuwatesa na kuwaua manabii...?' nami nawalilia sana watu kama nyie.
 
Yale yale....Tunamsubiri yesu...
 
Sikuelewa alichokuwa nazungumza. Ilikuwa ni vurugu tu, mara Swiz, mara Katavi, mara Mbeya, mara vipepeo, mara mi Mkatoliki...kuna asiyejua CDM wamejaa wakatoliki???

Usichoelewa ni kwa sababu Sugu amewatamkia wazi CCM kuwa wajiandae kuwa wapinzani makini kama walivyo Chadema?
 
Hivi hawa viongozi wa ccm wanaakili timamu kweli? Wanawasikia wananchi wao mtaani wanavyongea? Nadhani pinda angekua wa kwanza kuachia ngazi
 
Kawambia kabsa wajiandae kuwa chama pinzani, lakini chama pinzani makini sio legelege kama magamba.
Kawashukia mawaziri wanaojifariji kuwa huo ni upepo tu unapita, kawaambia wasahau maana tufani inayokuja itang'oa kama sio bati basi ni nyumba yote! message sent kwa mkuu wa kaya pale magogoni, tuone kama ataendelea kutabasamu na pamoja na ufirauni wa mawaziri wake!

kwani mutharika si ameshazikwa??? au mwenyekiti wa kamati ya mazishi africa yupo huko kuhakikisha na mwili umeanza kuoza! long live our prezidar!
 
Rejao,
kuna thread ya udini humu ndani hukuiona nini ukachangie kule!!?
"Shatwani mkubwa wewe!!"
 
Back
Top Bottom