SUGU: Mahakama Kuu imesema nilifungwa kihuni, nikikamata ndege msiseme Mimi sio mzalendo

Acheni janja janja Tunataka msomi Dr Tulia ackson Tumechoka kuongozwa na mtu wa la saba

Mbeya inawasomi iongozwe na msomi
Mkuu usikimbilie kwenye Elimu ,Mwigulu ana PhD lakini umeona Matokeo ya Elimu kwa jamii yake yalivyo ya hovyo.Rudi kwenye Mada ya Msingi.
Maisha na harakati za sugu ni zaidi ya elimu uliyonayo wakati mwenzako anaanza kurekodi nyimbo studio wewe ulikuwa kijijini kwenu inzakambege huko.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sugu stress za kupoteza ubunge zinamuharibu akili

Nashauri asiruhusiwe kuchangia aonane na wataalamu wa psychology

Sent using Jamii Forums mobile app
Una habari Sugu ndie mbunge alieongoza kwa kupata kura nyingi zaidi ya wote?

Najua wakati huo ulikuwa bado hujanunuliwa simu na "bosi" wako polepole.

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu alikuwa bado ananyonya,ndiyo maana hata DC Sabaya anasema ni wa Marangu huyu Bia yetu ni mnala umeyumba.
 
Acheni janja janja Tunataka msomi Dr Tulia ackson

Tumechoka kuongozwa na saba wana mbeya

Mbunge hata kujenga hoja bungeni hawezi

Alienda bungeni kuwa baunsa wa Mbowe

Sent using Jamii Forums mobile app

Wasomi wengi wa ccm majizi tu sijaona elimu iliyokomboa taifa hili tunaishi kama tumepigwa na ma ebola na ma civil war kumbe haya majanga hayajatupitia kabisa
 
Wewe Ccm imekupa elimu unakuja kuringa hapa jamii forum

Kuna Nchi hawajapata muda wa kukaa darasani kwa sababu ya vita

Yote yote hatutaki kuongozwa na la saba tena, Mbeya ni jiji la wasomi linatakiwa kuongozwa na msomi
Wasomi wengi wa ccm majizi tu sijaona elimu iliyokomboa taifa hili tunaishi kama tumepigwa na ma ebola na ma civil war kumbe haya majanga hayajatupitia kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom