SUGU: Mahakama Kuu imesema nilifungwa kihuni, nikikamata ndege msiseme Mimi sio mzalendo

Sexer

JF-Expert Member
Oct 22, 2014
5,784
2,000
Wakuu sikilizeni yote mpate uhondo make Mheshimiwa kaongea point nyingi sana za msingi, mfano DPP kuchukua hela kwenye mifuko badala control number, mbunge analalamika kumpoteza mama yake sababu kufungwa kihuni, suala la wabunge wa CCM watakaorudi bungeni kwamba atarudi Maiga tu kitu kilichomfanya spika naye amuulize sugu kwamba inamaana yeye spika harudi?, nk msikilizeni mbunge halafu tuyadili yote kwa pamoja.

Ila Mimi nilichogundua spika anamheshimu sana Sugu, na huwa hamuingilii ingilii akiwa anaongea.


Sent using Jamii Forums mobile app
 

denooJ

JF-Expert Member
Mar 31, 2020
730
1,000
Top Bottom