SUGU kuwawekea WAKILI Watu waliokamatwa MBEYA baada ya VULUGU | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

SUGU kuwawekea WAKILI Watu waliokamatwa MBEYA baada ya VULUGU

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by YEYE, Nov 14, 2011.

 1. YEYE

  YEYE JF-Expert Member

  #1
  Nov 14, 2011
  Joined: Nov 12, 2011
  Messages: 440
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Mbunge wa Jimbo La Mbeya Mjini Joseph Mbilinyi maarufu km SUGU, Ametoa taarifa kwamba:-
  "MBEYA HALI NI SHWARI WANANCHI WANAENDELEA NA SHUGHULI
  ZAO KAMA KAWAIDA...NA WANANCHI
  WOTE 386 WALIOKUWA WANASHIKILIWA
  NA JESHI LA POLISI SASA WAKO
  HURU,AMBAPO KATI YAO 34 WAMEACHIWA KWA DHAMANA NA WENGINE WOTE WAMEACHIWA BILA DHAMANA...NAANGALIA UTARATIBU WA
  KUWAWEKEA WAKILI WANANCHI HAWA 34 KWANI NAAMINI WOTE NI INNOCENT CITIZENS"
  Source:- Facebook Wall page yake
   
 2. Mrimi

  Mrimi JF-Expert Member

  #2
  Nov 14, 2011
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 1,673
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Eee baba!
  Longa Prezdaa.
  Tunakukumbuka toka kwenye track yako: Mikononi mwa Polisi.
   
 3. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #3
  Nov 14, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,971
  Likes Received: 2,966
  Trophy Points: 280
  Walewale dizaini ya kina Lema. Wanatafuta cheap popularity.
   
 4. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #4
  Nov 14, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,971
  Likes Received: 2,966
  Trophy Points: 280
  prezdaa wa nini?
   
 5. Mupirocin

  Mupirocin JF-Expert Member

  #5
  Nov 14, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 1,596
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Safi sana Sugu afu watu anapojitokeza ooh Jk kasema maneno sita amani imekuja Mbeya mwenye wananchi wake anaonekana namna gani anahangaika ili wawe huru huyu ndiye Rais wao. Go to heel the killer Jk.
   
 6. Architect E.M

  Architect E.M JF-Expert Member

  #6
  Nov 14, 2011
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 815
  Likes Received: 118
  Trophy Points: 60
  unajidai hujui??,, kaa hapo na magamba yako, kiazi wewe
   
 7. njiwa

  njiwa JF-Expert Member

  #7
  Nov 14, 2011
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 11,076
  Likes Received: 1,811
  Trophy Points: 280
  this dude ... dah!! sometimes naona kama hajui anachofanya... kwenye rap za matusi yumo.. chuki binafsi anapeleka hadi mjengoni yaani vurugu tupu...
   
 8. Mawenzi

  Mawenzi JF-Expert Member

  #8
  Nov 14, 2011
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,261
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Ndiyo sababu UNATUKANWA!!!!!! You deserve it and more!!!
   
Loading...