Elections 2010 SUGU kutowatetea wasanii mjengoni mana wengi NI CCM?

jensen

Member
Oct 31, 2010
22
0
]wasanii wengi wa filamu na muziki hawakumsapoti josephy mbilinyi na wengi waliegemea kwa mafisadi sasa kwa sababu wabunge ccm huwa hwana mpango na wasanii wafikapo bungeni zaidi ya kuwatumia ktk kampeni je?sugu atete maslai ya hao wasaliti au alitetee sana jimbo lake?
 
Hakuna haja, yeye yupo kwa maslahi ya watu wa mbeya zaidi
 
Awasamehe tuu ilikuwa njaa hasa uyu sijui Mbagalaaaaaaaaaaaaa na yule wa iringa na matangazo yao
 
awatetee wana wa mbeya, wamemuunga mkono mwanzo mwisho!!!!!
hakupigiwa kura na wasanii, sanasana wasnii walishawishi wapiga kura wawapigie kura mafisadi.
hongera wananchi wa mbeya.
 
awatete wananchi wa jimbo lake waliomchagua na sio hao wanafiki wanoendekeza njaa badala ya uzalendo wa nchi yetu.
 
atawatetea watanzania wote.. si Mbeya tu.. si mnaona jinsi wabunge kama zito kabwe na Slaa walivyotetea watanzania wote wakiwemo wa jimbo lake!!
 
]wasanii wengi wa filamu na muziki hawakumsapoti josephy mbilinyi na wengi waliegemea kwa mafisadi sasa kwa sababu wabunge ccm huwa hwana mpango na wasanii wafikapo bungeni zaidi ya kuwatumia ktk kampeni je?sugu atete maslai ya hao wasaliti au alitetee sana jimbo lake?
Awatetee ili iweje, wao wanajua kuwa umaskini wao unasababishwa na hao mafisadi ila bado wanawasuport. Wangehitaji kutetewa wangempa support jamaa. Awatetee wananchi wa jimbo lake, ful stop.
 
]wasanii wengi wa filamu na muziki hawakumsapoti josephy mbilinyi na wengi waliegemea kwa mafisadi sasa kwa sababu wabunge ccm huwa hwana mpango na wasanii wafikapo bungeni zaidi ya kuwatumia ktk kampeni je?sugu atete maslai ya hao wasaliti au alitetee sana jimbo lake?

Wasubiri Kusaga na Kibonde wakigombea ndo watetewe maslahi yao mjengoni!
 
Simple question....
Ni nini mandate ya mbunge.... ni kuwakilisha watu wa tasnia yake pekee au umma wote??
 
Tulimuambia sugu tunakupa kura ukatutete watu wa mbeya na co wasanii walio kusariti..Naye alikubari kwan wasani wengi bongo ni wanafki.
 
Tena asiongelee kabisa wasanii, walimtenga, awatetee watu wa MBEYA, na asifikirie hilo hata kidogo, yeye na watu wa Mbeya, period, mtoto si wako unalee nini? Walimtenga ni wakina Solo tu ndio alikuwa nao
 
Mtetezi wa wasanii ni Kikwete wamsubiri yeye. Sugu shughulika na wana Mbeya mjini
 
]wasanii wengi wa filamu na muziki hawakumsapoti josephy mbilinyi na wengi waliegemea kwa mafisadi sasa kwa sababu wabunge ccm huwa hwana mpango na wasanii wafikapo bungeni zaidi ya kuwatumia ktk kampeni je?sugu atete maslai ya hao wasaliti au alitetee sana jimbo lake?

baada ya uchaguzi mbunge anaondoa tofauti na kutetea raia wote walioko kwenye jimbo lake bila kubaguwa wasanii nk. Twende kazi sugu!
 
Namshauri Sugu atetee sana wananchi waliomchagua kuliko wasanii, maana wasanii ni wasanii. Na wasanii watatetewa na kaka yao JK si ndo kawatumia
 
Back
Top Bottom