Sugu kumpelekea Kikwete antivirus mixtape Ikulu!

Mchaka Mchaka

JF-Expert Member
Jul 20, 2010
4,516
1,404


Joseph Mbilinyi

MISSION:

Personally nitaenda Ikulu kumpelekea Rais Kikwete copy ya Anti-Virus Mixtape Vol 2 pamoja na zawadi ya Tshirt ya Anti-Virus...Ili naye asikilize vijana wa taifa lake na kilio chao.
 
Aisee ondoa hiyo avatar yako inayofanana na dubu wa magamba
 
kwa wewe itakuwa ngumu kuingia vinginevyo mwekee kwenye mtandao ataisikia tu.
 
ahahahaha kila nikifika job siku hizi lazima niisikilize haina majotrooo hahaha Sugu bana si mchezo
 
Back
Top Bottom