Sugu: Hivi unawezaje kujimwambafai halafu unaogopa uchaguzi huru? 😎😎😤

Jackal

JF-Expert Member
Apr 10, 2012
9,554
12,674
Screenshot_2019-11-03-12-57-23.png
 
Huwa nasema kila mara hyu jamaaa ni muoga sana
Mtu mwoga ni hatari sana anaweza kukuua.Zamani nikiwa mdogo mtaani kwetu ,kulikuwa na jamaa mmoja mbabe wa mtaa anaitwa Hamis Mbiji.Huyu jamaa alikuwa kila akimkuta mtoto anaingiza mikono mfukoni na kuchukua chochote kilichopo kwa nguvu.Kuna siku Mimi nikaona huyu ni ujinga nikawa natembea na Jiwe mfukoni.Nilipokutana na Hamis Mbiji,nilichokifanya ni kumkaba shingo,mkono mwingine nilikuwa nimeshika lile Jiwe nagonga kichwa chake.Hamis Mbiji ,mbabe wa mtaa akawa anapiga yowe.Mpaka watu kuja kuamua Hamis Mbiji akawa anavuja damu sehemu mbalimbali za kichwa.Toka siku hiyo akawa na heshima tele kwangu😂😂😂
 
Maneno meengi tunapendwa, kwenye pambano wanaweka mpira kwapani, kiukweli Ni aibu sana....
CCM ya kina Mkapa na JK sio hii.Zamani CCM wangeweza kushinda uchaguzi kwa 80% bila figisu ukiondoa Zanzibar. Sasa hivi wakishinda kwa 50% wanakuwa wamejitahidi sana.Intelligence inawaonyesha kushinda uchaguzi kwa kipindi hiki ni 50/50.Chance ya kushindwa ipo poa!
 
Mtu mwoga ni hatari sana anaweza kukuua.Zamani nikiwa mdogo mtaani kwetu ,kulikuwa na jamaa mmoja mbabe wa mtaa anaitwa Hamis Mbiji.Huyu jamaa alikuwa kila akimkuta mtoto anaingiza mikono mfukoni na kuchukua chochote kilichopo kwa nguvu.Kuna siku Mimi nikaona huyu ni ujinga nikawa natembea na Jiwe mfukoni.Nilipokutana na Hamis Mbiji,nilichokifanya ni kumkaba shingo,mkono mwingine nilikuwa nimeshika lile Jiwe nagonga kichwa chake.Hamis Mbiji ,mbabe wa mtaa akawa anapiga yowe.Mpaka watu kuja kuamua Hamis Mbiji akawa anavuja damu sehemu mbalimbali za kichwa.Toka siku hiyo akawa na heshima tele kwangu😂😂😂
Kwa hiyo na mbiji wa feri naye siku zinahesabika
 
Back
Top Bottom