Sugu awaita wabunge waliohamia CCM mapoyoyo bunge zima lashangilia

Chakaza

JF-Expert Member
Mar 10, 2007
39,759
71,138

Katika hali inayoonyesha kuwa Wabunge walio kuwa upinzani waka 'unga mkono juhudi' na kuja kupitishwa kwa nguvu ya dola kuwa Wabunge tena hawakubaliki hata na wenzao wa CCM.

Imedhihirika baada ya mbunge Mwita wa Sengerema kuingilia ili kuchafua mchango wa Sugu kisha kuitwa yeye na wenzake mapoyoyo na Bunge bila kujali itikadi likalipuka kwa shangwe.

Imekuwa ni tabia ya Wabunge hao wapya wa CCM kutumika/kujituma kutoa taarifa au mwongozo wa spika kujionyesha wao ni CCM damu kuliko walio wakuta hivyo kupata dharau miongoni mwa walio wakuta.

Ni swala la muda tuu, dharau kwao itakuwa wazi hata ndani ya CCM.
 
🤣🤣🤣🤣🤣
Mh. Sugu katika kiwango chake cha juu kabisa cha majibu machafu ya papo kwa hapo 😂😂😂😂
 
Katika hali inayoonyesha kuwa Wabunge walio kuwa upinzani waka 'unga mkono juhudi' na kuja kupitishwa kwa nguvu ya dola kuwa Wabunge tena hawakubaliki hata na wenzao wa CCM.

Imedhihirika baada ya mbunge Mwita wa Sengerema kuingilia ili kuchafua mchango wa Sugu kisha kuitwa yeye na wenzake mapoyoyo na Bunge bila kujali itikadi likalipuka kwa shangwe.

Imekuwa ni tabia ya Wabunge hao wapya wa CCM kutumika/kujituma kutoa taarifa au mwongozo wa spika kujionyesha wao ni CCM damu kuliko walio wakuta hivyo kupata dharau miongoni mwa walio wakuta.

Ni swala la muda tuu, dharau kwao itakuwa wazi hata ndani ya CCM.
Mkuu rekebisha hapo mwita poyoyo ni mbunge wa kuteuliwa segerea sio sengerema.
 
Hajakosea ila alichokoseani ni kusahau kuwa Jenister ni mmoja wao.

Mkuu ata Jenister alikuwa anafurahi sana kama umemsikia alivyokuwa anazungumza, hajawahi kutolea ufafanuzi jambo la upinzani huku akicheka vile.

Ni dalili kwamba kuna mgawanyiko ndani ya chama tawala cha CCM na ndio maana ata kina Chalamila wanapigania jamaa aongeze ili yasiwakute yakuwakuta maana wataendelea kuwa salama.
 
Kibaya zaidi kwenye kura ya maoni mwakani chances are asilimia kubwa kama sio wote watatemwa ndio watajionea fitna za kushinda kiti cha uchaguzi CCM sio ndogo, wakati huko walikoama si ajabu wangekuwa favorites candidates kugombea tena

Huyo Mwakyembe mwenye pamoja na influence zake ndani ya CCM huko Kyela zilikuwa zikianza siasa kura ya maoni ndani ya JF inawaka moto spika tumeona kamtwanga mtu fimbo ya kichwa mara ya mwisho itakuwa wao,very short sighted ni mapoyoyo kweli.
 
Watu wa hovyo wote wapo CCM, CHAMA CHA MAPOYOYO. Kujiongeza huruhusiwi.
 
Ni vema tunapowataja hawa wabunge walionunuliwa, ili kuwatambulisha kuwa kwanza walikuwa kwenye vyama vingine, wakawa wanatajwa kwa sifa zao. Kwa mfano Poyoyo Waitara, Poyoyo Mtolea, n.k.
Ha haha, hiyo imepita bila kupingwa!
 
Back
Top Bottom