Sugu awa Mbogo bungeni, amshukia Ally Kessy, Makonda, Simbachawene na Mwakyembe

Nitajie majimbo ya chadema yenye umasikini sijakwambia unitajie CCM. Halafu jiheshimu mi nimtu mzima. Huko dodoma vijijini wanakula panya na kushindia viwavi jeshi kwani uwongo.na huko ndio jambo ya CCM.
Mtoto pampas inakuwasha mwambie mama akubadilishie.
 
Hahaha kanuni imeshindikana kutumika maana Bashite ha exist..lakini mwanzo alijua atamsitsha SUGU kuongea..HONGERA SUGU,MSG IMEFIKA
 
Yajue mambo kabla hujaandika. Nyamagana na Ilemela yalikuwa yanaongozwa na nani vipindi vilvyopita? Ukweli ni ukweli hata wewe umeukubali.
Nyamagana,Ilemela,Kinondoni,Ubungo,Mbeya,Arusha hayajawahi kuwa majimbo masikini toka uhuru. Hawa wasaka tonge wameeshika miaka 7 ndani ya miaka 53.
Hoja yenu ni nini hasa mbona mnanipeleka kucheza ukutiukuti? Haya nimekupa kazi hiyo nenda kamwambie mama akutandikie ulale ukue
 
Hivi najiuliza ikithibitika kweli kama Huyo mkuu anatumia cheti kisichochake hukumu gani itamfaa huyu bwana?
 
Una undugu na sizonje? Kazi ya mbunge siyo kutetea eneo moja kuna muda unatetea nchi kiujumla. Wewe endelea ukisema hakuna mbunge wakati wenzako wamemchagua ili hali wewe hadi mpenzi wako umechaguliwa na watu
Utetezi huu wa kipuuzi unaashiria kuwa umenielewa na huo ndio ukweli. Mbeya wataendelea kufaidika na mambo yatakayosimamiwa na Mh Mwanjelwa yaliyomo ndani ya ilani ya ccm tu.
Sugu hana ndoto yake,amebaki kufagilia yanayotekelezwa kutimiza ilani na ahadi za rais Kikwete. Huwezi jenga barabara ukaacha kujenga madaraja.
 
Wanambeya tunajua thamani yake mbunge kapata kura nyingi kuliko yeyote Tz na visiwani leo utokeee bwegee kama ww tukueleweje ww team bashite?
Haifuti ukweli kuwa jimbo halina mwakilishi. Hasira za Wanambeya zinawatafuna wenyewe. Serikali haiwezi kuota kila mahitaji ya Wanambeya mjini. Ni mbunge pekee ndio wa kuyafuatilia ili yapewe kipaumbele.
 
Haifuti ukweli kuwa jimbo halina mwakilishi. Hasira za Wanambeya zinawatafuna wenyewe. Serikali haiwezi kuota kila mahitaji ya Wanambeya mjini. Ni mbunge pekee ndio wa kuyafuatilia ili yapewe kipaumbele.
sisiemu sahau Mbeya mjini.pale hata Sambwee Shitambala hamuwezi Sugu kamwee mtapatapa saaana
 
Aina ya uwakilishi wa hoja bungeni kwa mh.Sugu ndio aina ya akili za walio mchagua.

Inapendezaaa Prezdaaaa Sugu.
Halahala na matusi yako ya jumla jumla hapa. Usije kulalamika kwa modes kuwa hukuonywa.
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Back
Top Bottom