Gazeti la Mwananchi la leo linaripoti kuwa Mbunge wa Mbeya Mjini Kamanda Sugu amevuna zaidi ya wanachama 250 wengi wao wakiwa wanachama wa CCM (kadi zaidi ya 100 za CCM zilirudishwa) katika mkutano wa ufunguzi wa kampeni za mwenyekiti wa kijiji Saza, Jimbo la Songwe, Chunya- Mbeya. Mkutano huo ulivunja rekodi kwa kuhudhuriwa na idadi ya kutisha ya watu. Hongera kamanda Sugu!