Sugu Avuna Wanachama 250 Jimboni kwa Mulugo!

ibange

JF-Expert Member
Dec 31, 2010
1,545
550
Gazeti la Mwananchi la leo linaripoti kuwa Mbunge wa Mbeya Mjini Kamanda Sugu amevuna zaidi ya wanachama 250 wengi wao wakiwa wanachama wa CCM (kadi zaidi ya 100 za CCM zilirudishwa) katika mkutano wa ufunguzi wa kampeni za mwenyekiti wa kijiji Saza, Jimbo la Songwe, Chunya- Mbeya. Mkutano huo ulivunja rekodi kwa kuhudhuriwa na idadi ya kutisha ya watu. Hongera kamanda Sugu!
 
2015 ajira kibao yaani kuwa waziri unachagua tu
 
Gazeti la Mwananchi la leo linaripoti kuwa Mbunge wa Mbeya Mjini Kamanda Sugu amevuna zaidi ya wanachama 250 wengi wao wakiwa wanachama wa CCM (kadi zaidi ya 100 za CCM zilirudishwa) katika mkutano wa ufunguzi wa kampeni za mwenyekiti wa kijiji Saza, Jimbo la Songwe, Chunya- Mbeya. Mkutano huo ulivunja rekodi kwa kuhudhuriwa na idadi ya kutisha ya watu. Hongera kamanda Sugu!

Big up Kamanda Sugu! Kazi nzuri sana, tuongeze mapambano dhidi ya ccm naamini mwisho wa siku tutaibuka washindi tu!!
 
Sio kweli ni watu waliohudhuria mkutano wa kufungua kampeni.sio waliojiunga na chadema.siku hiyo kulikuwa na msiba.hali ni ngumu kwa chadema kiasi cha kuanza mbinu za kutaka kuhirisha uchaguzi.tatizo la jamaa wa cdm huota ndoto za kujifurahisha tuu
 
waliokutuma waambie wenyewe hawapo!! kuona mtu bado anashabikia ccm mpaka leo!! ni aibu kwa kweli!
 
Namuomba sana Mwenye Enzi anilinde hadi 2015 ili nione kwa macho yangu mwenyewe jinsi CCM inavyoanguka.

Kwani nani kakuambia kuwa ukifa hutajua nn kinaendelea? Utajua kila kitu lkn huna haki ya kuhoji na sisi tutakuwa hatukuoni ila wewe utakuwa unajua kila kitu.
 
Hata mimi nakushangaa kuona unashabikia chadema kwani si chama si lolote.wengi wanaoshabikia chadema ni wabwiya unga.na ndio maana hotuba zao matusi magomvi na vitendo vya hovyo. Wanahitaji kukaa na kujipanga upya.kwa ligha kama yako na za namna hiyo sahau.
 
Magamba wanagongwa kila kona kufika 2015 manundu yatawajaa usoni,aibu. Kichaa wao vuvuzela anakalia propaganda tu mara dr slaa mamluki...baada ya mkama kunyolewa sasa zamu yake imefika
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom