Sugu aunguruma Bungeni, atetea kazi za wasanii

Big up Sugu unazidi kukomaa siku hadi siku ni speech nzuri iliyoenda shule labda kuna kitu kimoja hukukiongelea Vazi la Taifa otherwise congra.
 
...amalizie miaka yake.sidhan kama atapata tena mbeya. CDM najua ni watu makini..na hawataweza mrudisha mtu kama huyu,anaye fanya mambo ya ajabu katika kumbi za starehe na katika wall yake ya facebook.. Kiongozi kama mbunge,ni kioo cha chama..naomba kuwasilisha
 
...amalizie miaka yake.sidhan kama atapata tena mbeya. CDM najua ni watu makini..na hawataweza mrudisha mtu kama huyu,anaye fanya mambo ya ajabu katika kumbi za starehe na katika wall yake ya facebook.. Kiongozi kama mbunge,ni kioo cha chama..naomba kuwasilisha
Hebu tujuze TheRedKop maana hawa ndiyo wawakilishi wetu kama wanafanya uchafu kwenye maclub na dada zetu inabidi tuwaanike hadharani na si kuwaficha. Tuletee picha zake kama unazo kweli
 


LUGHA YA KISWAHILI NA UTAMADUNI WETU
Mheshimiwa Spika, Kuhusu maendeleo ya Kiswahili, Tanzania inasifika kwa kuongea Kiswahili fasaha, lakini leo ukiingia katika tovuti yeyote duniani, ukiuliza Kiingereza utaambiwa asili yake ni Uingereza, Kifaransa asili yake Ufaransa, Kijapan asili yake Japan, Kijerumani asili yake Ujerumani, Kispanyola asili yake Hispania, lakini unapouliza Kiswahili, wanasema asili yake ni Kenya.

Kwa hili Sugu tayari nimeshaanza-kulikomalia angalia hapa chini:
Swahili language - Wikipedia, the free encyclopedia

Aluta Kontinua....
 
Waziri huwa anajisahau na kuona wizara ni ya mpira wa miguu tu,jamaa mzima sana tena mbishi yuko chama imara ndiyo maana upeo wake unaongezeka kila siku.bravo man.

huu ni ushabiki mtu pale hatuna saba bila ngoma droo
 
...amalizie miaka yake.sidhan kama atapata tena mbeya. CDM najua ni watu makini..na hawataweza mrudisha mtu kama huyu,anaye fanya mambo ya ajabu katika kumbi za starehe na katika wall yake ya facebook.. Kiongozi kama mbunge,ni kioo cha chama..naomba kuwasilisha

Hukujua kwanini walimwita sugu? Hii ni pamoja na hilo wanambeya wenyewe wanajionea, MTU HATUNA.
 
viva Sugu. Ndo maana hatukuona taabu kuchoma mafuta toka Arusha kwenda Mbeya kukuletea kura tano. We Sugu Jembe na dunia inakubali wewe ni Sugu. Hao ma.fa.la kina Kibonde roho zinawauma sana ila moyoni wanakubali wewe ni Sugu.
Ahsante kwa hotuba nzuri
 
Siasa haina Elimu ni Uwajibikaji... Sugu ni Mwajibikaji anaesaidia Wanyong'e -- More power 2 U brother!!!
 
wenye vijiba vya roho dhidi ya sugu na wenye mi.m.ba za chuki dhidi ya sugu wa.ka.ji.fu.ngu.e!
 
Tumeshuhudia mara kadhaa uhasama na tambo nzito baina ya mbunge wa Mbeya (Mbilinyi) na Ruge wa clouds tangu wakati wa tamasha la malaria no more, fiesta, studio ya 'JK' nk. Kwa jinsi mambo yanavyoendelea, kwa sasa wasanii wafuasi wa clouds ni 'CCM' na sina hakika kama wasanii wafuasi wa Sugu ni marafiki wa CHADEMA.

Lakini kinachonikera ni kwamba, hakuna jema atakalofanya mbunge huyu likawa la kutangazwa na clouds radio/TV hata kama lina manufaa kwa wasanii wafuasi wao.

Mbunge huyu ni waziri kivuli wa 'sanaa' lakini naye haoni lolote jema la wasanii wa clouds hasa kutoka ile nyumba ya vipaji 'THT'. Je, nani yupo kutetea maslahi ya vijana wa kitanzania wenye kuhitaji sanaa kama ajira?

Natafakari nini chaweza kufanyika ili vita ya mahasimu hawa isiwe kikwazo kwa maendeleo ya vijana wasanii wa hapa kwetu.
 
Matatizo ya wabunge waliopata FOUR form FOUR.

Ni vyema ukafikiri kabla hujasema. We unajua Ruge alipata ngapi? Huyo Kibonde anayetumiwa na Ruge kila cku kumchafua Sugu alipata FOUR ya 33. Kama vp, njoo UDSM tukuoneshe matokeo yake na ya huyo boss wake.
 
Matatizo ya wabunge waliopata FOUR form FOUR.
Tatizo siyo division bali ni mwingiliano wa maslahi na kila mmoja kujiona ni mbabe.
Kama tatizo lingekuwa Div basi JK asingekuwa rais hata asingepewa udaktari na vyuo kama MUHAS na UDOM kwan inasemekana ana GPA ndogo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom