Sugu atofautiana na Mwenyekiti Mbowe kuhusu uchaguzi 2025

Ndio tuna cha kujifunza kutoka kwa wanasiasa....

Wakati wao wako busy na matumbo yao sisi tupo busy kuwapigia makofi, kushangilia U-CCM na U-Chadema na sio U-Taifa kwanza
Miaka yote bungeni, mpunga alovuta, bila shaka ana vyanzo vingine vya kipato (hotel D) ila bado ana ndoto za kuajiriwa.

Huku huko bungeni tunaambiwa vijana wajiajiri..ila wao hawajiajiri na mitaji wanayo tayari.

#Hii nchi imechezewa sana.

Umeandika kwa uchungu mno mkuu
 
Ndiyo maana mimi ni never ever kujitoa mhanga eti nampigania flani aingie madarakani never ever. Hawa wanasiasa nje ya bunge hawajiwezi hata wakijiajiri wanammiss yale mamilioni ya kugonga meza.
Nikimkumbuka Polepole wa katiba siamini kama ndiye huyu wa sasa, nikimtazama Halima Mdee siamini kama ndiye alikuwa anamsema Zitto ni msaliti.
 
Tuna ujinga mwingi sana, na ni ngumu kupiga hatua kwa akili hizi....

Kuna mambo yanayohitaji siasa/kichama/ uccm na uchadema na kuna mambo ya msingi yanahitaji sapoti ya wananchi siasa zikae kando. Ila haya hatuelewi.

Ilimradi tunapua inatosha.
Ume iweka maturely. The number must grow larger for the politics of this nation to change.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndiyo maana mimi ni never ever kujitoa mhanga eti nampigania flani aingie madarakani never ever. Hawa wanasiasa nje ya bunge hawajiwezi hata wakijiajiri wanammiss yale mamilioni ya kugonga meza.
Nikimkumbuka Polepole wa katiba siamini kama ndiye huyu wa sasa, nikimtazama Halima Mdee siamini kama ndiye alikuwa anamsema Zitto ni msaliti.
Mimi kwenye maisha yangu nina falsafa zangu na vipaumbele. Na siku zote namuunga mkono mtu anayetembea humo, sina muda wa kuwa msukule wa mwanasiasa.

Hakuna kitu kibaya kama kujiweka "Total submission" kwa mwanasiasa.

Mwanasiasa ndio anatakiwa kukushawishi wewe kwa kufuata mahitaji yako ili atumike, siyo wewe kuwa msukule kwa kila anachofanya.

Ni lazima watu wajue wananchi wana vipaumbele vyao na wanasiasa wana vipaumbele vyao.
 
Kabisa mkuu, sema shida watanzania wengi tuna mapenzi yasiyokuwa na sbabu yani ili mradi ni flani. Leo akikwambia hivi unasema ndiyo, keshio akikana kauli akasema hivi ni ndiyo ili mradi kasema flani.
 
Kutofautiana ni haki yao na hii inajionyesha jinsi demokrasi ilivyokomaa ndani ya CDM
I have been a prolific member of Chadema for over 20 years, for your information there is no political party in this country which practices democracy. You will always have to find full of patronage in virtually all decisions the parties arrived at.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kabisa mkuu, sema shida watanzania wengi tuna mapenzi yasiyokuwa na sbabu yani ili mradi ni flani. Leo akikwambia hivi unasema ndiyo, keshio akikana kauli akasema hivi ni ndiyo ili mradi kasema flani.
Wabongo tunapenda sana kuishi kwa matumaini ambayo hayapo.

Vyama vitabadilika ila watu watabaki ni wale wale.

Leo hata ikiingia madarakani CHAUMA au CDM wazee wa fursa wote tena wengine kutoka huko huko CCM watahamia huko huko kuendelea kupiga.

Kenya, KANU haipo ila raia wale wale waliokuwa KANU kina Kenyatta sasa hivi ndio wanatawala kupitia JUBILEE.
 
Yani ni kweli kabisa. Majina yatabadilika lakini watu ni wale wale
 
Back
Top Bottom