Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 117,599
- 217,991
Hii ndio habari mpya inayozunguka Mjini Mbeya kwa sasa
Anarudi kwenye fani ya kufokafoka.Darasa la saba basi, mbeya wanataka msomi
aliyekudanganya Sugu darasa la 7 ni nani ?Darasa la saba basi, mbeya wanataka msomi
aliyekudanganya Sugu darasa la 7 ni nani ?
Hawala yenu kesho,atalala na miwani.Darasa la saba basi, mbeya wanataka msomi
Duh, hii ni kali. Ngoja Tulia apigwe chini tuone kama ataendelea kupata konekshen, na weusi wake
Ni form4 division zero ntampigia kwa sababu ana akili za kitaa.aliyekudanganya Sugu darasa la 7 ni nani ?
Magufuli jana alisema nileteeni huyohuyo wa darasa la saba nimpe kazi.Darasa la saba basi, mbeya wanataka msomi
uchunguzi unaonyesha kwamba ukishashindwa na Sugu kwenye ubunge unateketea moja kwa moja , Shitambala sasa hivi anagombea udiwaniYule maza kadanganywa maskini...tulimshauri akatuona waongo..wacha apambane na hali yake.
Atakuwa amechanganya Sugu na Kibajaji au Msukuma...!!aliyekudanganya Sugu darasa la 7 ni nani ?
Msomi kama kibajaji sio?Darasa la saba basi, mbeya wanataka msomi
Sugu msafwa wa wapi?Yaani naibu spika asirudi bungeni kwa ajili ya rapper wa kisafwa!!
Mbona sehemu kubwa ya huo umati unamshangaa na kumzomea. Anasindikizwa na kundi la vijana wa kijiweni wakipiga kelele za kumbeza