Uchaguzi 2020 Sugu atikisa Soko la Mitumba Soweto, ni katika ziara ya mwisho kabla ya kufunga kampeni

Mbeya imetulia kwa Tulia.Hata akitikisa sharubu, hawezi shinda mbeya. Mungu ibariki Tanzania, Mungu ibariki CCM.
 
Yule maza kadanganywa maskini...tulimshauri akatuona waongo..wacha apambane na hali yake.
uchunguzi unaonyesha kwamba ukishashindwa na Sugu kwenye ubunge unateketea moja kwa moja , Shitambala sasa hivi anagombea udiwani
 
Back
Top Bottom