Sugu atangaza rasmi kumsapoti Jide Ijumaa

Hahaha, genge la walokabidhi Vijiti! Kwa Clouds wote lazima wachutame ndo wajojoe!
 
Hakika hii si ya kukosa, na wale wasanii uchwara munaotumika na na ile radio wa wafu nendeni mkaandae show yenu,muipate aibu ya mwaka.......hongera sugu,hongera jide,hongera yeyote atakayesupport hii show,tunataka sanaa ya tz iendelee na kuwa na wigo mpana sio kushikwa na majambazi halafu wanajifanya wanaiendeleza......
 
Ngojea tuwasikie mashosti wa pale redio ya wafu watakuja kwa namna ipi.
 
Huyu sugu haya akiimba bure mimi siingii hana swaga wala style huyo jide sauti za nyimbo zake sasa hata mchiriku inanafuu zinaumiza masikio bora nikaziweke kwenye mashamba yangu ya mpunga kufukuzia ndege
 
Da.mn little rat ulivyokuwa sh.o.ga you mean hatujui sauti na uimbaji wa jide.. Acha utoto mtu mzima ww.. Hebu fikiria maisha sio kujishaua et mashamba
 
Huyu sugu haya akiimba bure mimi siingii hana swaga wala style

sasa nani alikwambia Sugu anataka mabwabwa kwenye show yake, izo swagga na style zinazokufaa nenda kazipate kwa isha mashauzi uko mnaposhikwashikwa masaburi.

''nikaziweke kwenye mashamba yangu ya mpunga kufukuzia ndege''

hii msemoi uliikopi kwangu alafu unaitumia kila mara tafuta ya kwako mpya au njoo nikupige mjengo ili niwe nakupa nyingine mpya.
 
Huyu sugu haya akiimba bure mimi siingii hana swaga wala style huyo jide sauti za nyimbo zake sasa hata mchiriku inanafuu zinaumiza masikio bora nikaziweke kwenye mashamba yangu ya mpunga kufukuzia ndege

MwanaFatuma @work!
 
FA. akili zako bado hazina akili unakubali vipi kutumika. kwa maslahi ya watu wengine! sikupendi na sikukubali tena kwa hiyo tabia yako ya kichoko
 
Huyu sugu haya akiimba bure mimi siingii hana swaga wala style huyo jide sauti za nyimbo zake sasa hata mchiriku inanafuu zinaumiza masikio bora nikaziweke kwenye mashamba yangu ya mpunga kufukuzia ndege

Mawazo ya kishoga haya
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom